Paul Kagame ni kiongozi bora barani Afrika

Paul Kagame ni kiongozi bora barani Afrika

Mimi niko hapa kigali niko shft ya usiku,soma mada uielewe,unaweza kujiona mahali tumefika Watanzania,tunahitaji kuonewa huruma,either tumwombe Mh.Kagame aje atutawale kwa mwaka mmoja turudishe japo heshima tuliyokuwa tumejijengea miaka ya nyuma.
..............!
 
Ndugu yangu usilolijua ni kama usiku wa giza kwa hiyo ni bora tu unyamaze, wewe umefika Kigali ndiyo ukaona kama umeimaliza Rwanda nzima.Ulishawahi kufika mikoani ukajionea umasikini wa Wanyarwanda wanaoishi kwa kulima viazi na ndizi milimani?Mimi kwetu ni wilaya ya Ngara huku tumepakana na mkoa wao wa Kibungo nakuambia huwa Wanyarwanda wanakuja kuomba vibarua kwetu vya kulima na tunawatumia kufuga mifugo yetu, pia nimebahatika kufika mikoa ya Cyangugu na Butare mwaka jana watu ni masikini sana tena hata hayo maendeleo unayoyaona ni madini Kagame aliyokuwa anayachota DRC kwa taarifa yako. Pole sana umedandia basi kwa mbele.

Kuhusu eti kusema gari la serikali baada ya masaa ya kazi eti zinapakiwa kwenye yadi ya serikali you are bloody lier,nimebahatika kuwa Rwanda tena mwezi uliopita ni kwamba magari ni kama huku kwetu yanapiga misele kama kawaida,kuhusu ulinzi wa mawaziri siwezi kuongelea sana maana Rwanda kila mtusi ni mlinzi wa Rwanda na ni usalama wa taifa kwa hiyo wewe unaweza ukasema kuwa hakuna ulinzi kumbe ulinzi upo.

Kuhusu kuwa juu ya sheria pia usidanganye watu, watusi wapo juu ya sheria tena sana,mfano kama mtusi akimgonga mhutu na gari basi kesi itazungushwa na mwisho itaamuliwa ndivo sivo.Wewe unamfahamu Jack Nziza? Unamfahamu Richard Murefu? Unamfahamu Fred Ibingira? Kila sehemu kuna watu always wanakuwa untouchable so usije ukasema eti Rwanda hakuna mtu ambae hayupo juu ya sheria.

By the way makosa anayoyafanya Paul Kagame ndiyo hayo hayo aliyoyafanya marehemu Juvernaly Habyarimana.Mfano kipindi cha Habyarimana mke wake Agathe Habyarimana alitengeneza ka kikundi ka watu aliokuwa anawataka kushika madaraka walikuwa wanaitwa AKAZU yaani presidential guard yote ya rais walikuwa members wa AKAZU na walikuwa ndugu wa either mke wa Habyarimana ama ndugu wa Habyarimana na pia Habyarimana alikuwa haishi kwenye ikulu alikuwa anaishi kwenye nyumba yake. The same aplied kwa Kagame, Kagame hakai Ikulu, ikulu ya Kagame ni nyumbani kwake kwa hiyo anaoperate kutokea nyumbani kwake pia mke wa Kagame Jeanete Nyiramongi Kagame na Kagame wamezungukwa na ndugu zao kwenye kijiji chao kinaitwa Murugo.

In short kwa kuwa Kagame (kuwabagua wahutu na kuwaona si chochote si lolote)hatofautiani sana na Habyarimana(kuwabagua watusi na kuwaona si lolote si chochote) kwa hiyo kilichompata Habyarimana its more likely kumpata Kagame hata kama haitakuwa kwa njia ile ile ya kutunguliwa kutokea angani lakini hata kwa njia tofauti hata ya kutunguliwa kutokea ardhini.NAWASILISHA
Well said; ila kwa sababu hawataki kuambiwa ukweli watakuja na matusi na name calling like interahamwe na mengineyo!......wahutu bado ni second class citizens in rwanda. That is a plain truth, I know the country well!
 
Akitaka akumbukwe amuige Jerry Rawlings wa Ghana.... ambaye hatimaye aliwaachia wananchi wake demokrasia ya kweli.
 
Well said; ila kwa sababu hawataki kuambiwa ukweli watakuja na matusi na name calling like interahamwe na mengineyo!......wahutu bado ni second class citizens in rwanda. That is a plain truth, I know the country well!

Msipofikiria vyema mnaweza kuona mko sahihi kabisa, ila mmepotea njia nadhani mnaenda rwanda kwa kupitia mtwara... anyways back to the point..

Nina maswali kadhaa kama mkijibu basi mtakuwa mmepata ukweli halisi juu ya maendeleo ya rwanda na tanzania.

1. Rwanda ina ukubwa wa km ngapi ukilinganisha na Tanzani??
2. Ni fedha kiasi gani kimewekezwa kuendeleza Tanzania kwenye barabara, shule, vyuo, makazi, ofisi za selikari, migodi, viwanja vya ndege na bingine vingi vipi kama tanzania ingekuwa na ukubwa sawa na rwanda???
3. Serikari ya rwanda ina wafanyakazi wa serikari ya rwanda wangapi ukilinganisha na Tanzani? Hapo utajua utofauti kati ya kuendesha bus ya yutong au scania na Altezza??
4. Na utawala bora unamaanisha upi?? Wa mkono wa chuma au wa sheria?? Course so far rwanda ni mkono wa chuma sio mkono wa sheria?
5. Rwanda wanaproduce nini so far katika nyanja tofauti tofauti kuanzia kilimo hadi ofisin???

Na bora ukajifunza kuhusu utawala bora ili utofautishe unayoyasema na mambo khalisi yanayotokea rwanda..

Unaposema Raisi wa nchi yangu Tanzania katoa amri ya kujitetea vip Kagame aliposema anaye isaliti rwanda atakufa au atauliwaa alimaanisha nini utawala bora??
Uchumi wa nchi unauangaliaje uthamani wa hela au maisha ya watu wako "living standard"??? Na kama ni maisha vipi ukilinganisha idadi ya watanzania na wanyarwanda ipi kubwa na ipi inapaswa kuboreshwa haraka?? Kwakuwa unapokuwa na watu wengi wahitaji makubwa kuwa weka sawa...

Ukweli ni kwamba Rwanda thanmani ya hela yao ipo juu ila wanavitu vingi sana kutupita katika utawala bora na maisha ya watanzania au wanyarwanda...

Na uliyoeleza yanapishana na kichwa cha habari... kama ni uchumi ongelea uchumi kama ni jumlanongelea jumla jumla usituchanganyie habari...

Rwanda bado vijana wadogo na walitakiwa kuwa mbali zaidi ya hapo tofauti na tanzania kubwa mara kumi au ishirini ya rwanda...
 
Nikijua tu lazima watu wagombane au wakaraishane...
 
Tatizo letu Wa Afrika tunapenda kuongea sana, ila vitendo hakuna yani ukiangalia contents za habari zetu inachekesha it is just like that (Tanzania tunaweza kuipiga Rwanda kwa mda kidogo tuu..ka Rwanda kadoogo, ebwana uchumi wetu huwezi kulinganisha na Rwanda, upande mwingine nao bwana ee unajua Kikwete huyu anawasaidia FDRL, leo kakutana na wapinzani wa Rwanda etc, etc) jana nilikuwa border upande wa Tanzania nilikuwa nimetokea upande wa Rwanda, cha kushangaza nikwamba sura iliyopo mpakani nitofauti sana nayale yanayo andikwa mitandaoni, watu wa mipakani wanavuka bila hata passport:
Amkeni chapeni kazi kamwe Tanzania haitapigana na Rwanda nina imani hakuna nchi yeyote iwe Rwanda au Tanzania yenye sababu au faida yoyote ya kuanzisha vita na nchi nyingine vile vile sidhani kama uwezo huo wanao, vita si mchezo vita ni ghalama:
Hapa tungekuwa tunaongelea ni bidhaa gani zipelekwe Kigali, au bidhaa gani tutoe Kigali zije Tazania nadhani wengi wangefaidika:
Kwangu mimi nadhani ni bora kuwa na jirani aliyeendelea manake atleast unaweza kununua kutoka kwake:
Tuache ushabiki usio na maana, siasa za Rwanda tuwaachie wanya Rwanda:
 
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.

Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.

Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.

Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.

Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.

Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.

Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.

Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.

Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.

Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.

Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.

Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.

Utapingwa Na Wengi Wenye UPEO Duni na Mdogo ila Utaungwa Mkono na Sisi Wachache Wenye Utashi na Maono Chanya na Tuliojawa Na Ukweli na Uwazi na Siyo UNAFIKI. Yote Uliyoyasema Kumhusu Kiongozi Wangu Kipenzi Paul Kagame ni Mkweli Mtupu na Usisahau Pia Kuwa TUTSI Ni Habari Nyingine Kwa Maarifa, Upeo na Akili. Karibuni Sana Rwanda. MRAKOZE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo letu Wa Afrika tunapenda kuongea sana, ila vitendo hakuna yani ukiangalia contents za habari zetu inachekesha it is just like that (Tanzania tunaweza kuipiga Rwanda kwa mda kidogo tuu..ka Rwanda kadoogo, ebwana uchumi wetu huwezi kulinganisha na Rwanda, upande mwingine nao bwana ee unajua Kikwete huyu anawasaidia FDRL, leo kakutana na wapinzani wa Rwanda etc, etc) jana nilikuwa border upande wa Tanzania nilikuwa nimetokea upande wa Rwanda, cha kushangaza nikwamba sura iliyopo mpakani nitofauti sana nayale yanayo andikwa mitandaoni, watu wa mipakani wanavuka bila hata passport:
Amkeni chapeni kazi kamwe Tanzania haitapigana na Rwanda nina imani hakuna nchi yeyote iwe Rwanda au Tanzania yenye sababu au faida yoyote ya kuanzisha vita na nchi nyingine vile vile sidhani kama uwezo huo wanao, vita si mchezo vita ni ghalama:
Hapa tungekuwa tunaongelea ni bidhaa gani zipelekwe Kigali, au bidhaa gani tutoe Kigali zije Tazania nadhani wengi wangefaidika:
Kwangu mimi nadhani ni bora kuwa na jirani aliyeendelea manake atleast unaweza kununua kutoka kwake:
Tuache ushabiki usio na maana, siasa za Rwanda tuwaachie wanya Rwanda:

tutawaachaje ikiwa wao ndio wanaotukana viongozi wetu? mawaidha yako waambie news of rwanda, New times rwanda etc, ambavyo vyote ni vyombo vya serikali ya Kagame. Sisi sio wanyonge kama DRC. Mkipiga tunawapigia.
 
Tatizo letu Wa Afrika tunapenda kuongea sana, ila vitendo hakuna yani ukiangalia contents za habari zetu inachekesha it is just like that (Tanzania tunaweza kuipiga Rwanda kwa mda kidogo tuu..ka Rwanda kadoogo, ebwana uchumi wetu huwezi kulinganisha na Rwanda, upande mwingine nao bwana ee unajua Kikwete huyu anawasaidia FDRL, leo kakutana na wapinzani wa Rwanda etc, etc) jana nilikuwa border upande wa Tanzania nilikuwa nimetokea upande wa Rwanda, cha kushangaza nikwamba sura iliyopo mpakani nitofauti sana nayale yanayo andikwa mitandaoni, watu wa mipakani wanavuka bila hata passport:
Amkeni chapeni kazi kamwe Tanzania haitapigana na Rwanda nina imani hakuna nchi yeyote iwe Rwanda au Tanzania yenye sababu au faida yoyote ya kuanzisha vita na nchi nyingine vile vile sidhani kama uwezo huo wanao, vita si mchezo vita ni ghalama:
Hapa tungekuwa tunaongelea ni bidhaa gani zipelekwe Kigali, au bidhaa gani tutoe Kigali zije Tazania nadhani wengi wangefaidika:
Kwangu mimi nadhani ni bora kuwa na jirani aliyeendelea manake atleast unaweza kununua kutoka kwake:
Tuache ushabiki usio na maana, siasa za Rwanda tuwaachie wanya Rwanda:

The best contribution in long time especially kwenye hizi topic za RW-TZ-JK-PK, Mgosi umelonga ukweli kabisa, hakuna nchi yoyote kwenye eneo la Maziwa makuu yenye uwezo wa kuendesha vita ya moja kwa moja madhara yake ni makubwa "Madhala yake ni makubwa" nani aliimba huu wimbo? hebu nikumbusheni
 
Mimi niko hapa kigali niko shft ya usiku,soma mada uielewe,unaweza kujiona mahali tumefika Watanzania,tunahitaji kuonewa huruma,either tumwombe Mh.Kagame aje atutawale kwa mwaka mmoja turudishe japo heshima tuliyokuwa tumejijengea miaka ya nyuma.

Khaaa wewe kuna kitu hakiendi sawa kwenye ubongo wako ....
yaani huyo dikteta aje kutawala kwenye ardhi hii, huyo muuaji .Hapana ajifunze kuheshimu watu wanaomzunguka ili siku chache za kuishi alizobakiza walau afe kwa amani, ila ulichowasilisha inabidi ujitafakari upya maana yeye anatawala kamkoa tu na sio inji kama hii.
 
Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.

Kumbe wewe ni Mrwanda!!

Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,
Thamani ya pesa sio kipimo cha maisha bora au uchumi wa nchi kama nchi yako ina inflation(mfumuko wa bei), sometimes wanafanya devaluation(kushusha thamani ya pesa) ili inchi iweze ku-export sana kuliko ku-import.
Mfano: 1U$D = 0.39 Oman Rial, Hapo juu Rial ya Oman ina thamani kuliko Dollar ya Marekani ila hatuwezi kusema uchumi wa Oman ni mkubwa kuliko Marekani, So the same apply to Rwanda kwa Tanzania.

Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo. Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali, ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe.
Bora ungesema uchumi wa Rwanda hautoshi kujenga nyumba za Serikali, Inchi yenyewe ni mkoa harafu inashindwa kujenga hata nyumba ya Waziri wakati Kagame anamiliki Ndege za Air Rwanda!
 
Utapingwa Na Wengi Wenye UPEO Duni na Mdogo ila Utaungwa Mkono na Sisi Wachache Wenye Utashi na Maono Chanya na Tuliojawa Na Ukweli na Uwazi na Siyo UNAFIKI. Yote Uliyoyasema Kumhusu Kiongozi Wangu Kipenzi Paul Kagame ni Mkweli Mtupu na Usisahau Pia Kuwa TUTSI Ni Habari Nyingine Kwa Maarifa, Upeo na Akili. Karibuni Sana Rwanda. MRAKOZE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumsifia raisi kisa mtusi mwenzio we ndo unjiona una akili kumbe ubongo umejaa kinyesi tupu. Wenzenu Tz wanatambuana kwa utanzania wao nyie mnatambulishana kwa "ututsi" na "uhutu". Akili yako iliyochanganyika na kinyesi haikupi nafasi kutambua kilicho wafanya watutsi wenzio wachinjwe. We endelea na siasa zako za kitutsi huku ukitegemea kukimbilia Tz kuponya shingo lako dhidi ya majambia ya wahutu waliochoka kudhalilishwa!
 
Bahati mbaya sana hawana akili ya kutambua uzito wa hiki ulichoongea!! Atakuja juu badala ya kushukuru.
 
Hakuna kinachohitaji kufikiri kwa saa 40 apa, K.game anaendesha Toyota Carina limited (ka nchi kadooogo) u can't compare na Tz its lyk a huge bus (e.g Youtong terria) unapozungumzia economic, eti ukitumia gari mwisho muda wa kazi kwa Tz ukifanya ivo what's happen kwa vijijini.
NB: In any activity put more efforts accolding to the size of your load and your capability, nothing difficult than to level development when your trying to compare yourself with things not your type.
 
PAMOJA NA YOTE P.K ANASTAHILI SIFA KEMKEM KWA KU~STABILIZE RWANDA,KIUCHUMI NA UHUSIANO WAKE KIMATAIFA NA MISIMAMO YAKE NA ITIKADI YAKE + MUDA ALIOTAWALA RWANDA// nukuu ya P.K, "bandari ya daresalam pekee yatosha kuendesha uchumi wa tanzania nzima endapo itasimamiwa kikamilifu"
 
Mimi niko hapa kigali niko shft ya usiku,soma mada uielewe,unaweza kujiona mahali tumefika Watanzania,tunahitaji kuonewa huruma,either tumwombe Mh.Kagame aje atutawale kwa mwaka mmoja turudishe japo heshima tuliyokuwa tumejijengea miaka ya nyuma.

Nina wasiwasi na utanzania wako, yaani ubongo wako wote umeona hiyo ndio solution, humjui Kagame vizuri wewe na asiye jua maana haambiwi maana. Usizungumzie tena suala la uzalendo maana we ni mhaini
 
Utapingwa Na Wengi Wenye UPEO Duni na Mdogo ila Utaungwa Mkono na Sisi Wachache Wenye Utashi na Maono Chanya na Tuliojawa Na Ukweli na Uwazi na Siyo UNAFIKI. Yote Uliyoyasema Kumhusu Kiongozi Wangu Kipenzi Paul Kagame ni Mkweli Mtupu na Usisahau Pia Kuwa TUTSI Ni Habari Nyingine Kwa Maarifa, Upeo na Akili. Karibuni Sana Rwanda. MRAKOZE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukabila in action kwa hiyo HUTU nini, well said positive thinker. Poor you!
 
kumsifia raisi kisa mtusi mwenzio we ndo unjiona una akili kumbe ubongo umejaa kinyesi tupu. Wenzenu tz wanatambuana kwa utanzania wao nyie mnatambulishana kwa "ututsi" na "uhutu". Akili yako iliyochanganyika na kinyesi haikupi nafasi kutambua kilicho wafanya watutsi wenzio wachinjwe. We endelea na siasa zako za kitutsi huku ukitegemea kukimbilia tz kuponya shingo lako dhidi ya majambia ya wahutu waliochoka kudhalilishwa!

urakoze mwana.............................!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom