Paul Kagame ni kiongozi bora barani Afrika

Toothpick

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
348
Reaction score
145
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.

Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.

Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.

Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.

Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.

Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.

Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.

Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.

Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.

Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.

Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.

Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.
 
Ukikosa usingizi hii ndio Dawa!?
Mimi niko hapa kigali niko shft ya usiku,soma mada uielewe,unaweza kujiona mahali tumefika Watanzania,tunahitaji kuonewa huruma,either tumwombe Mh.Kagame aje atutawale kwa mwaka mmoja turudishe japo heshima tuliyokuwa tumejijengea miaka ya nyuma.
 
Siku zote nilikua niko opposite na rwanda na rais PK..lakini kwa sasa hata mimi namuona huyu jamaa ni kiongozi bora sana kutokea kipande hii ya afrika..namlinganisha na baba wa taifa JKN only...
 
Ndugu yangu naona umeeleza vizuri na kwa mapana jinsi Rwanda wanavyopiga hatua, pamoja na kwamba sijafika huko kigari nadhani uliyoeleza yanaweza kuwa na ukweli furani. Lakini naona kuna viashiria vingine ulivyovitolea mfano kuonyesha kuwa Rwanda iko mbele zaidi yetu si sawa. Kwa mfano umeelezea kwa Rwanda franc kuwa nathamani kubwa kuliko shiling yetu. Napenda kukumbusha tu kuwa kiuchumi kinachotakiwa si kuimarika kwa sarafu bali kuwa stable. Sarafu ya nchi husika inapokuwa na samani ndogo lakini stable huiwezesha nchi hiyo kuuza bidhaa nyingi zaidi nje ya nchi. Embu jiulize kwa nini wachina waliamua kushusha thamani ya sarafu yao makusudi? kama ulivyoeleza ndo ukweli wa mambo kwa nini Mmarekani alalamike baada ya mchina kushusha sarafu yake? ukweli ni kwamba anajua mchina atauza zaidi kuliko marekani. kwa mantiki hiyo, pamoja na mapungufu uliyoyaeleza Tanzania tunaweza kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kuliko Rwanda. Pamoja na hayo nakubaliana kwa kiasi kidogo tu kwa hayo mengine yaliyosalia.
 
Mimi ni kati ya watu ambao nilikua nasifia utendaji wa kagame kwa miaka mingi toka aingie madarakani. Lakini kadri siku zinavyokwenda ndivyo umaarufu wake unavyopungua,mfano amekua akivamia nchi za zingine kwa kisingizio cha kulinda nchi yake,amekua mtu asiyependa kuapatana na watu aliotofautiana nae,amekua mtu wa kupenda vita na amekua akiwauwa watu ambao wanatofautiana nae,kwa msingi huo hata ubora wake umekwisha na haupo tena.kiukweli namchukia mtu asiyependa demokrasia
 
Watakuja wanaopembua mambo kwa hisia na matusi...ngoja tuu waamke
 
Khaa!! Hujakaa Nairobi wala Pretoria wala Abuja. Hujui mambo uchumi. Siku zake zinahesabika. Acha ulevi
 
Mkuu upo right wanaokupinga hawana hoja zaidi ya chuki binafsi kisa tu Kagame ametofautiana na JK. Wenzetu hata wakichukua madini congo wanaimarisha uchumi wa nchi wakati sisi tunajinufaisha wenyewe tu. Mwigulu yuko SAHIHI kuhoji yeye anamkosi gani kwani kuwa mtanzania (rejea kauli yake bungeni wakati anatoa hoja ya Mbowe kutumia nafasi yake ya mkuu wa kambi ya upinzani bungeni kutaka mbunge wa viti maalum atumiwe tiketi ili aende India)
 
Ni kiongozi bora kwa nchi siyo na demokrasia ukimleta huyu kiongozi Tanzania itakuwa vita maana tuna utamaduni usiopenda kutawaliwa na kuambiwa cha kufanya. Hivyo hiyo system ya Rwanda haitafanya kazi Tanzania
 
wizi mtupu, kadhibitiwa na JK kule DRC kaanza chuki, sasa asubiri, aangalie na ajifunze kwa kile kitakachompata.
 
Wanyarwanda wanapendana? na hao wanaotaka kumpindua sio wanyarwanda wenzake?
hao anaowauwa kila kukicha na aliowasweka jela sio wanyarwanda wenzake?
utawala bora ni kuleta chokochoko na ugomvi na jirani yako (Tanzania)
kuijenga nchi wa rasilimali za wizi kutoka Kongo huo ni utawala bora.

acha kufikiri kwa akili za kuazimwa
 
Kwa upande wa upigaji kazi PK ni kizazi cha JKN na GADDAFI..

Tatzo lake n mchokozi,mwenye ndoto za kuitawala africa mashariki nzima,asie na shukrani,muuaji..
Hapendi demokrasia..
 
Hana amani rohoni mwake....anajua wakati wowote na SAA yoyote roho itauacha mwili.

JWTZ
 
Mtu anatembelea kigali anadhani ndio Rwanda nzima, kwani hata hapa ukitembelea Obay, samora ndio utakuwa na haki ya kuchambua mpaka kigoma-ujiji?
 
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.
Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.
Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.
Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.

1 usd= 102 japanese yen
1 USD= 11 SA rand.

Je South africa ina uchumi mkubwa kuliko japan?
 
Ndugu yangu usilolijua ni kama usiku wa giza kwa hiyo ni bora tu unyamaze, wewe umefika Kigali ndiyo ukaona kama umeimaliza Rwanda nzima.Ulishawahi kufika mikoani ukajionea umasikini wa Wanyarwanda wanaoishi kwa kulima viazi na ndizi milimani?Mimi kwetu ni wilaya ya Ngara huku tumepakana na mkoa wao wa Kibungo nakuambia huwa Wanyarwanda wanakuja kuomba vibarua kwetu vya kulima na tunawatumia kufuga mifugo yetu, pia nimebahatika kufika mikoa ya Cyangugu na Butare mwaka jana watu ni masikini sana tena hata hayo maendeleo unayoyaona ni madini Kagame aliyokuwa anayachota DRC kwa taarifa yako. Pole sana umedandia basi kwa mbele.

Kuhusu eti kusema gari la serikali baada ya masaa ya kazi eti zinapakiwa kwenye yadi ya serikali you are bloody lier,nimebahatika kuwa Rwanda tena mwezi uliopita ni kwamba magari ni kama huku kwetu yanapiga misele kama kawaida,kuhusu ulinzi wa mawaziri siwezi kuongelea sana maana Rwanda kila mtusi ni mlinzi wa Rwanda na ni usalama wa taifa kwa hiyo wewe unaweza ukasema kuwa hakuna ulinzi kumbe ulinzi upo.

Kuhusu kuwa juu ya sheria pia usidanganye watu, watusi wapo juu ya sheria tena sana,mfano kama mtusi akimgonga mhutu na gari basi kesi itazungushwa na mwisho itaamuliwa ndivo sivo.Wewe unamfahamu Jack Nziza? Unamfahamu Richard Murefu? Unamfahamu Fred Ibingira? Kila sehemu kuna watu always wanakuwa untouchable so usije ukasema eti Rwanda hakuna mtu ambae hayupo juu ya sheria.

By the way makosa anayoyafanya Paul Kagame ndiyo hayo hayo aliyoyafanya marehemu Juvernaly Habyarimana.Mfano kipindi cha Habyarimana mke wake Agathe Habyarimana alitengeneza ka kikundi ka watu aliokuwa anawataka kushika madaraka walikuwa wanaitwa AKAZU yaani presidential guard yote ya rais walikuwa members wa AKAZU na walikuwa ndugu wa either mke wa Habyarimana ama ndugu wa Habyarimana na pia Habyarimana alikuwa haishi kwenye ikulu alikuwa anaishi kwenye nyumba yake. The same aplied kwa Kagame, Kagame hakai Ikulu, ikulu ya Kagame ni nyumbani kwake kwa hiyo anaoperate kutokea nyumbani kwake pia mke wa Kagame Jeanete Nyiramongi Kagame na Kagame wamezungukwa na ndugu zao kwenye kijiji chao kinaitwa Murugo.

In short kwa kuwa Kagame (kuwabagua wahutu na kuwaona si chochote si lolote)hatofautiani sana na Habyarimana(kuwabagua watusi na kuwaona si lolote si chochote) kwa hiyo kilichompata Habyarimana its more likely kumpata Kagame hata kama haitakuwa kwa njia ile ile ya kutunguliwa kutokea angani lakini hata kwa njia tofauti hata ya kutunguliwa kutokea ardhini.NAWASILISHA
 
Kwa muda nilioishi hapa Rwanda,ninapenda kuwadhibitishia Watanzania wenzangu kwamba Mh.Paul Kagame ni kiongozi bora kabisa barani Afrika.
Ninazo sababu za kudhibitisha ubora wa kiongozi huyu;Kwanza kabisa ameijenga jamii ya wanyarwanda kuwa wamoja na wenye kuipenda nchi yao ama niseme wazalendo wa kweli.Maana kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe mpaka watu kufikia mahali wakaelewana sio kazi ya mchezo kama wengine mnavyoweza kufikiri,ni kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na Dunia nzima kwa jambo hilo.
Kwa upande wa Uongozi;Hapa naona ameitendea haki hii nafasi,na hakika kwa mtu yeyote ambae ameishi hapa Rwanda atakubaliana na mimi.Wanyarwanda sio watu wa mchezo kama hapa Tanzania,wanahitaji strong leader,kama mnafikiri natania mjaribuni Rais wenu,miezi 3 tu anakimbia nchi yeye mwenyewe.
Kwa upande wa maendeleo,hii nchi inapiga hatua sana kushinda Tanzania yenye rasilimali nyingi na vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na Rwanda ambayo yenyewe inategemea kukusanya kodi na kuijenga nchi yao,hamna vyanzo vingine vya mapato lakini ukija hapa Rwanda utashangaa kila kitu kinaenda sawa.Pesa yao iko vizuri ukilinganisha na ya kwetu,Dola moja ya marekani ni sawa na francs690,wakati Tz Dola moja ni sawa na tsh.1630,kwahiyo utaona hata kiuchumi wenzetu wapo juu,sisi mbwembwe nyingi sana siasa sana ,mara wengine wajisifu wachumi daraja la kwanza,yaani hapa kwetu ni shida tupu.Kwa upande wa utawala bora;Hapo napo nampa sifa,hakuna kiongozi yeyote aliyejuu ya sheria.Nitawapa mfano kidogo,hapa Tz mtu akiwa waziri atapewa ulinzi msaa 24,nyumba bure,chakula bure na watoto wanasomeshwa na serikali,lakini Rwanda mambo hayako hivyo.Hapa utaishi kwenye nyumba yako,hakuna nyumba za serikali,ulinzi utapewa kwenye masaa ya kazi tu,baada ya kazi utajirinda wewe mwenyewe na gari ya serikali huruhusiwi kuitumia baada ya masaa ya kazi,kazi kama inaisha saa kumi basi,basi dereva anairudisha yadi ya serikali kwenda kuipaki mpaka kesho wakati wa kazi.Jilinganisheni na viongozi wenu muone kama mko sahihi na matumizi ya vyombo vya serikali.Viongozi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria makusudi,na kwa sababu wao ndio wako juu ya sheria hamna chochote ambacho wanaweza kufanywa au kuadhibiwa;mfano mzuri,Mh,Andrew Chenge alimgonga mtu,kilichoendelea mahakamani mimi sijui,Mh.Juma Kapuya alimbaka mtoto wa shule,hata polisi wameogopa kumkamata,Amethibitisha watoto wake wanauza dawa za kulevya kinachoendelea anajua Rais,polisi wameua mwandishi wa habari pale Iringa,Arusha na Morogoro wauaji wanadunda mitaani.Sheria zipo lakini wanaovunja wako juu yazo.Mbaya zaidi kuliko zote yule ambaye alipaswa kuzisimamia hizo sheria ametangaza kwa watu wake UNYONGE BASI,hakuna sheria ukipigwa na wewe piga.Kwa mtaji huo,je,ni nani anaweza kumfikia Rais Paul Kagame kwa utawala bora wenye kuheshimu sheria walizojiwekea?Mwisho namalizia kwa kusema Mh.PAUL KAGAME NI KIONGOZI BORA BARANI AFRICA NA HAKUNA MFANO WAKE.

Okay Mr Kichokoajino Majina yetu yana maana saana katika maisha yetu !
 
Bangi ni zao bora sana
 
Back
Top Bottom