Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Mc pilipili siku hizi nae ni mtumishi mkuu?
PhD ya theology ya utapeli!Gwajima kasomea ana PhD ya theology
Makanisa yalichochea mauaji Rwanda bora hata waislam wao hawakushiriki kwny genocide kama wakatoliki walivyofanya.Kagame anajua kinacholeta utiifu pale ni sheria na mkono wa chuma tu.Makanisa hakuna kitu yanamsaidia.Sasa hivi kwenyewe wakuu wa kanisa la Kisabato zaidi ya kumi na ushee amewaweka ndani kwa utapeli wa pesa za miradi.Na hakuna kitu watafanya.
Tena alichinja watu saaana yaaani Saana Rwanda kwny genocide Slim Kaua watu mil 70 hivi,yaani alikua enzi zake alimkamata mtu anamla ndogo Kwanza ndio anamchinja,jamaa Ni bonge la katili na kule Congo ameenda Kaua watu Kama mil 500 hivi.Itabidi majeshi yatumwe apigwe Huyu mpk anye 😄😄😄chanzo cha mauaji ya rwanda ni mr slim hiyo iko wazi acha maneno ya uongo
Tena alichinja watu saaana yaaani Saana Rwanda kwny genocide Slim Kaua watu mil 70 hivi,yaani alikua enzi zake alimkamata mtu anamla ndogo Kwanza ndio anamchinja,jamaa Ni bonge la katili na kule Congo ameenda Kaua watu Kama mil 500 hivi.Itabidi majeshi yatumwe apigwe Huyu mpk anye
Bangi mbichi ikichanganywa na mavi ya mtoto mdogo Ni noma sana.
umeona eeee bangi inawenyewe sio kila mtu anaweza kuvuta kuna siku utajukuta umeva chupi kichwani
Kwa hili nipo upande wakeHuyu dikteta naye ni hatari sn
Woga ni woga tu, haijalishi sababu ya wogan ni niniGwajima sisi tunamuogopa eti?hahahah yaani akiongea nchi nzima inatetemeka.Sasa hivi hadi kamati ya bunge imekaa kujadili upuuzi wake.Gwajima ni mwamba alishamkemea hadi Kikwete akiwa rais,kamkemea Pengo na ukadinali wake,ameshasikika akihamasisha Usukuma kwny mitandao ya kijamii na yuko tu anadunda.CCM wanamuogopa kisa watakosa kura za waumini wake na ile misukale yake anayoifufuaga.
Kuna wachungaji wana degree lakini bado wana ni matapeli balaaKwa hili nipo upande wake
Kwenye dini kuna utapeli mwingi sana .
Ni kweli ila ni lazima kuwe na mahala pa kuanziaKuna wachungaji wana degree lakini bado wana ni matapeli balaa
Na siku nikipiga kitu cha Arusha au Sikonge nakutelezeshea mti wa nyama kibabe.
Kitu ambacho kinatakiwa kufanyika ni hayo makanisa kuwa na mabaraza ya wadhamini pamoja na kuwa na mikutano mikuu, mbona Gwajima ana degree 3 lakini bado anafanya vituko?Ni kweli ila ni lazima kuwe na mahala pa kuanzia
Ngoja nichanje na gomba kabisa.Acha bangi kijana
Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.Kitu ambacho kinatakiwa kufanyika ni hayo makanisa kuwa na mabaraza ya wadhamini pamoja na kuwa na mikutano mikuu, mbona Gwajima ana degree 3 lakini bado anafanya vituko?
Did the Apostle Paul, Peter and the likes had theology degrees?“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.
Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
Mbona misikiti wanatuamsha saa 10:30 na wakati siyo wote ni waislamu?Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.
This is trampling on religious freedom. Rais hawezi kuwa ndiye anayetunga masharti au vigezo vya nani awe kiongozi wa kanisa na awe na elimu gani maana anaweza pia siku nyingine akasema hataki kiongozi wa dini mwenye degree au hataki viongozi wengi kwenye kanisa au mskiti mmoja.“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.
Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.