Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Kwa hiyo nashangaa kuona Jakaya Kikwete anataka kuwa AU Chairperson.
Mtu kama Kikwete hawezi kusuhulisha mzozo Kama ule wa DRC.
Unakumbuka wakati wengi walifukuzwa mkoa gani sijui,baada ya kuitwa "Warundi". Kagame alichukizwa sana, akasema wale watu walionewa tu.
Raila Odinga ingekuwa vizuri angeipata Ile nafasi ya AU Chairperson.
Na sasa, there are good prospects for peace. Naona jana Walibya walikuwa wanasema wanataka kuunda serikali ya umoja was k85sifa ili ipange Uchaguzi Mkuu.
Lazima uwe serious. Unajua mabomu yanavyotengezwa? Ni Mambo ya chemistry Yale. Wanajua element hii na element Ile "zinachukiana "sana. Kwa hiyo unazichanganya tu zile.
Basi, wakipita watu wawili wanavuta sigara,wanajadiliana kuhusu ligi ya mpira daraja la kwanza,inatokea explosion pale.
Kwa hiyo ni napinga Jakaya Kikwete,ambaye inadhaniwa hapatani na Paul Kagame apewe kazi ya kusuluhisha mgogoro wa DRC.