Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,547
- 122,982
Huo ndio ukweli wenyewe na hata lisu ni wao ndio wamefanya hivyo chadema... amka kaka chukua kidogo mitaani changanya na yako then utapata jibu.. sio unaegemea kwenye story za mitandao na vijiweni tumia akili yako kutafakari yanayo endelea ipe akili yako kazi ya kufanya
Mlipeni Katambi hela yake hilo la kusubiri yeye aje atuambie nani kampiga risasi Lissu mmechemsha. Halafu sio Katambi tu hata Lissu mwenyewe akisema ni cdm walimpiga risasi kisha akahamia ccm bado itakuwa ni movie ya kijinga kwani waliompiga risasi wanaeleweka.
Nana Katambi anatumwa au anaanzisha malumbano kwenye media ili ajadiliwe ionekane cdm kuna tatizo kubwa sana. Sio kwamba cdm hakuna matatizo ila kila taasisi ina matatizo yake, cha muhimu ni jinsi gani yanatatuliwa. Yeye Katambi ameshatakiwa maisha mema aendapo asitafute point za mezani kwa kulazimisha mijadala juu yake. Akitumikie chama chake kipya kama ana wazo lolote ka kufungua shughuli ya uzalishaji mali. Lakini kutuambia ccm ni chama bora huku ajira hakuna, uchumi unayumba, wakulima tunazidi kuumia hata mkopo hatuwezi kupata atakuwa anachekesha vinyago.