Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Tukiwa wakweli kwa nafsi zetu na uelewa wetu wa akili
Africa mambo ya siasa ya vyama vingi hatuwezi zaidi kuteletea, UADUI,UKABILA,UKANDA,UMIMI,UBINAFSI, NA HASARA KUBWA YA HELA ZA UMMA ZINAZOTUMIKA KUUELA HUU MFUMO(ruzuku ya vyama,chaguzi mbali2)

ndomaana wazungu wanatudharau sana, hivi AFRICA Huwa tunamfanyia nani haya maigizo ya siasa y a vyama vyingi?? UGANDA,RWANDA,TZ,ZIMBABWE,KENYA,BURUNDI etc ni nani huwa tunamdanganya kwa kuitisha chaguzi kuu na siasa ya vyama vingi kwa kutumia mabilioni ya hela za walipa kodi, Maana kama ni kuwadanganya au kuwafurahisha wazungu (EU na US,ofcourse China na Russia are'nt interested) sidhani kama huwa wanadanganyika/kufurahia zaidi ya kutuona sisi ma ZWAZWA,
NA KAMA HUWA NI SHINIKIZO, IFIKIE KIPINDI WAAFRICA TUJUE NINI KINATUFAA NINI HAKIFAI

(binafsi naona hili la siasa ya vyama vingi (despites faida zake) sisi bado hatujawa tayari, linatuletea migawanyiko na hasara kubwa sana......) Tafakari....

Nin maoni yako
Its true. Mfumo wa vyama vingi Africa ni wa kuleta faida kwa wazungu( wagawanye na kuwatawala.
 
Nipo makini kwa kila thread zinazomuhusu Katambi....
Nataka kujuaaaa kanunuliwa kwa sh.ngapi???

Sidhani kama kuna issue ya kununuliwa , swali la msingi ni moja tu je, katambi hakupewa fursa chadema? kama alipewa fursa ya mwenyekiti wa BAVICHA Taifa alikuwa anazungumzia fursa ipi aliyonyimwa? ni hayo tu maana katoka kwenye uwenyekiti wa vijana taifa hadi kuwa mwanachama wa kawaida, sasa ipi ni fursa na ipi si fursa. Halafu fursa inajitengenezea, mfano alishapata hadi nafasi ya kugombea ubunge kwa CDM, sasa fursa ni nini kumbe?
 
Hivi Lowassa alikwenda chadema ili apate nini zaidi ya fursa ya kuwa mgombea urais. Mbona hujawahi kulaani hili? Unadhani Nyalandu kaachia ubunge kwa kuipenda sana chadema? Kamuulize Lissu walizungumza nini kule Nairobi.

Hata wewe unapoacha fursa ulionayo ni kwa sababu umeona nyingine ilio bora zaidi japo wanaokuzunguka wanaweza kuona uloiacha ndio bora zaidi kutegemea na wanaathirikaje na wewe kuiacha.

Kama ulipo unaona kabisa malengo yako binafsi na kwa nchi hutaweza kuyafikia kwanini ung'ang'anie hapo?

Pambana na hali yako

Sasa ndugu wewe unajua walichokizungumuza halafu unasema nikamuulize TL, kwanini usiseme tu hapa au umenipa nauli ya kwenda Nai muda huu kaka? Wewe funguka tujue kama chama kimeuzwa kwakwe au lah maana mlisema chama kauziwa ma mamvi.
 
Kila anayetoka anasema lake, Nyalandu alisema yake na Patrobas kasema yake....
We elewa tu kila mtokaji ana lale la kusema.
Sio lazima liwe la kweli.
Nyalandu yeye ameacha fursa na kwenda kupambana tofauti na huyu Katambi ambaye amekimbia vita kutoka mstari wa mbele na kwenda kusaka maslahi binafsi.

Vv
 
Kila mtu anaingia kwenye siasa kwa sababu ya ulaji, wanasiasa wa enzi za kina mandela umeshapita miaka mingi sana. Sasa siasa ni biashara. Au mmesha sahau wabunge walivyo kuwa wakali kwenye swala la posho?
 
Tofauti ya CCM na CHADEMA ni kwamba CCM ina serikali na CHADEMA bado kinapambana. So kama hutaki kupambanua hali hiyo utaumia tu ndani ya chama nje ya serikali! Huku hakuna uwaziri wala ukatibu mkuu. Huku ni harakati za kutetea maslahi zaidi na pia kuchukua serikali. Sasa ukifikiri kuwa CHADEMA utapata manufaa binafsi kabla ya kuchukua dola unajidanganya. Nenda tu kaka/Dada tukutane 2020
 
Leo naona CHADEMA wamekamatika mbaya, wanatumia nguvu kubwa katika kujenga hoja za kujifariji.

Lakini ndio mambo ya siasa za vyama vingi, hakuna ajuaye kesho itakuwaje.
 
Siasa ni Fursa, ni Uchumi na ni biashara ndio maana wanasiasa wanapigwa ,Mabomu lakini wanajikongoja si kwamba wanawapenda Wananchi Bali wanasaka Tonge, muulize hata Mbowe atakwambia Radha ya Uenyekiti
 
Ndg Jinga lao unadhani CDM wangeweza kumfanyia nini Patrobas zaidi ya hiyo nafasi aliyokuwa nayo? Hivi nafasi za uongozi ziko ngapi nadni ya chama au ni kwamba kila anayekuwa mwanachama , mpiganaji apewe fursa ? Lakini fursa ni nini kama mwenyekiti wa BAVICHA au UVCCM atasema hajapewa fursa na chama? naomba unijibu hapa mkuu
Mkuu kuwa mwelewa, kupewa uongozi haisaidii kama kuna genge kwenye chama linahodhi kila senti. WANAGAWANA wao hadi za matibabu. Kwa hiyo Katambi kasema wanafanywa karai la zege wajenzi wakimaliza wanaliona uchafu.
 
Ndg Jinga lao unadhani CDM wangeweza kumfanyia nini Patrobas zaidi ya hiyo nafasi aliyokuwa nayo? Hivi nafasi za uongozi ziko ngapi nadni ya chama au ni kwamba kila anayekuwa mwanachama , mpiganaji apewe fursa ? Lakini fursa ni nini kama mwenyekiti wa BAVICHA au UVCCM atasema hajapewa fursa na chama? naomba unijibu hapa mkuu
Mwenyekiti wa UVCCM analipwa mshahara mzuri sana (zaidi ya ule wa DC) na chama chake lakini wa BAVICHA halipwi chochote. Fedha za ruzuku za chadema zinafufaisha watu wasiozidi watano, wanaomiliki hiyo SACCOS. CCM inajali rasilimali watu.
 
Yule mtoto ana njaa sana alafu sio honest. Mh mwenyekiti Mbowe swali linakuja kwako sasa uyu kijana ndani ya chama kama alishaonekana msaliti toka awali kwann alipanda cheo mpaka akawa mwenyekiti wa vijana taifa ?!
 
Patrobas n msalt tangu akiwa chuo,na huo usomi wake hana lolote kabebwa sana na jamaa 1 iv anaitwa rchard ndo alyemfksha apo ad masters kafanyiwa na huyo
 
Maisha ya mwanasiasa ni kama kinyonga. Kubwa zaidi ni FURSA, NA TENA FURSA KWELIKWELI. Wale wa kuona hivyo, hawaoni shida kupata fursa.
 
kiukweli kilichomtoa patrobas chadema ni ukanda wetu na njaa basi. huu ni ukweli wenyewe...
 
Back
Top Bottom