Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Kwanza niseme wazi kabisa kwamba nakubaliana na meneno ya wahenga kwamba mwenzako akinyolewa zako tia maji. Juzi hapa CHADEMA walimvuna ndg Nyalandu kutoka CCM na leo CCM wamemvuna Patrobas , hiyo ndiyo siasa na kila siku mwenyekiti wa CHADEMA anasisitiza kwamba kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Kwahiyo waliiondoka ama ccm , cdm au ACT wametimiza usemi huo.

Ila nimemsikia ndg Patrobas Katambi akisema CCM inatoa fursa kwa vijana tofauti na huko upinzani na kwamba juzi aliona aliyekuwa mwenyekiti wake akiwa chuo amepewa mjumbe wa kamati Tanzanite. Kwa sentensi ile kaonesha wazi kwamba fursa anayoizungunza ni cheo au ulaji ambayo hata hivyo chadema hawawezi kuitoa kwasababu hawana serikali. Hivi kuna fursa zaidi ya kuwa mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA? AU MIMI NDIYO SIJUI MAANA YA FURSA KISIASA?. Kwa nafasi aliyokuwa nayo katambi ndani ya CHADEMA mimi naona chama kilimpa fursa tena fursa ya kuonesha uwezo wake , kipaji chake na huenda kwa hiyo nafasi yake angefika mbali. Ndg John Heche alianzia huko na leo ni mbunge au yeye alitaka fursa gani, kuwa mwenyekiti au?

Nimalizie kwa kusema haya, katiba imetoa nafasi na uhuru wa watu kuhama vyama wapendavyo kwahiyo hawa wametekeleza haki yao ya kikatiba wala watu wasitumie muda mwingi kuwalaumu. Ila nalaani sana siasa za fursa, siasa za vyeo, siasa zinazofanya vijana kudhalilisha utu wao ili tu wapate vyeo. Lazima vijana tufanye kazi zingine kujipatia maisha tusitegemee siasa. Tutakuwa wakosoaji wazuri sana, wateteaji wazuri sana kama tuna kazi zetu za kufanya. fanya siasa bila mategemeo ya zawadi na fursa za kupewa bali tutafute fursa wenyewe kwa kuthubutu kugombea nafasi na tuwe wavumilivu ndani ya vyama vyetu. Unaweza kuhamia chadema leo kumbe 2020 ungegombea kwa ccm ungeshinda au unahamia ccm leo kumbe 2020 ilikuwa bahati yako kwa CHADEMA.
Niwatakie watafuta fursa (vyeo ) kazi njema ila at least waje na sababu strong basi.

Kindikwili -Ndanda
Hivi Lowassa alikwenda chadema ili apate nini zaidi ya fursa ya kuwa mgombea urais. Mbona hujawahi kulaani hili? Unadhani Nyalandu kaachia ubunge kwa kuipenda sana chadema? Kamuulize Lissu walizungumza nini kule Nairobi.

Hata wewe unapoacha fursa ulionayo ni kwa sababu umeona nyingine ilio bora zaidi japo wanaokuzunguka wanaweza kuona uloiacha ndio bora zaidi kutegemea na wanaathirikaje na wewe kuiacha.

Kama ulipo unaona kabisa malengo yako binafsi na kwa nchi hutaweza kuyafikia kwanini ung'ang'anie hapo?

Pambana na hali yako
 
mimi furaha kuona chadema inachuja wasio na moyo wa mabadiliko acha waondoke chama kiimarike mtu amepata nafasi ya juu ndani ya chama anaiita karai raha ni bado kijana safari ni ndefu utapakumbuka chadema
 
Katambi unataka uvune wakati wa kulima?! Sema ukweli wamefika Bei ukaweka mfukoni ukapandaa kwenye hiyo boti bila kujali uhakika wa safari.
 
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba nakubaliana na meneno ya wahenga kwamba mwenzako akinyolewa zako tia maji. Juzi hapa CHADEMA walimvuna ndg Nyalandu kutoka CCM na leo CCM wamemvuna Patrobas , hiyo ndiyo siasa na kila siku mwenyekiti wa CHADEMA anasisitiza kwamba kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Kwahiyo waliiondoka ama ccm , cdm au ACT wametimiza usemi huo.

Ila nimemsikia ndg Patrobas Katambi akisema CCM inatoa fursa kwa vijana tofauti na huko upinzani na kwamba juzi aliona aliyekuwa mwenyekiti wake akiwa chuo amepewa mjumbe wa kamati Tanzanite. Kwa sentensi ile kaonesha wazi kwamba fursa anayoizungunza ni cheo au ulaji ambayo hata hivyo chadema hawawezi kuitoa kwasababu hawana serikali. Hivi kuna fursa zaidi ya kuwa mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA? AU MIMI NDIYO SIJUI MAANA YA FURSA KISIASA?. Kwa nafasi aliyokuwa nayo katambi ndani ya CHADEMA mimi naona chama kilimpa fursa tena fursa ya kuonesha uwezo wake , kipaji chake na huenda kwa hiyo nafasi yake angefika mbali. Ndg John Heche alianzia huko na leo ni mbunge au yeye alitaka fursa gani, kuwa mwenyekiti au?

Nimalizie kwa kusema haya, katiba imetoa nafasi na uhuru wa watu kuhama vyama wapendavyo kwahiyo hawa wametekeleza haki yao ya kikatiba wala watu wasitumie muda mwingi kuwalaumu. Ila nalaani sana siasa za fursa, siasa za vyeo, siasa zinazofanya vijana kudhalilisha utu wao ili tu wapate vyeo. Lazima vijana tufanye kazi zingine kujipatia maisha tusitegemee siasa. Tutakuwa wakosoaji wazuri sana, wateteaji wazuri sana kama tuna kazi zetu za kufanya. fanya siasa bila mategemeo ya zawadi na fursa za kupewa bali tutafute fursa wenyewe kwa kuthubutu kugombea nafasi na tuwe wavumilivu ndani ya vyama vyetu. Unaweza kuhamia chadema leo kumbe 2020 ungegombea kwa ccm ungeshinda au unahamia ccm leo kumbe 2020 ilikuwa bahati yako kwa CHADEMA.
Niwatakie watafuta fursa (vyeo ) kazi njema ila at least waje na sababu strong basi.

Kindikwili -Ndanda
Shida ya CHADEMA Mh. Mbowe hapendi watu wanaoweza mfunika lazima ukubali kufanya kazi chini ya kivuli chake lasivyo utaishia kukandamizwa, kumbuka Zitto, Mkumbo, Mnyika, Kafurila, Baregu, John Mrema, ata T.Lissu, Mdee na wengine wengi...!

Mbowe aruhusu damu mpya ilete changamoto awezi strench zaidi aking'ang'ania CHADEMA kitakufa siyo muda mrefu.
 
Katambi anachekesha sana ! Unaacha uongozi wa kitaifa ili ukawe DC wa Chato ! Hii ni zaidi ya kulogwa .
 
Kwani Lowasa alifuata nini chadema. Mbona mnajioa fahamu.
 
Labda na yeye alitaka fursa ya chama kumlipa madeni hewa.
 
Shida ya CHADEMA Mh. Mbowe hapendi watu wanaoweza mfunika lazima ukubali kufanya kazi chini ya kivuli chake lasivyo utaishia kukandamizwa, kumbuka Zitto, Mkumbo, Mnyika, Kafurila, Baregu, John Mrema, ata T.Lissu, Mdee na wengine wengi...!

Mbowe aruhusu damu mpya ilete changamoto awezi strench zaidi aking'ang'ania CHADEMA kitakufa siyo muda mrefu.

Wewe jamaa hata hueleweki , hao kwenye red mbona ni viongozi wote wa CDM au mnataka mbowe aachie uwenyekiti ili upenyo wa kuTLP chadema ipatikane kirahisi?
 
Tutakuwa wakosoaji wazuri sana, wateteaji wazuri sana kama tuna kazi zetu za kufanya. fanya siasa bila mategemeo ya zawadi na fursa za kupewa bali tutafute fursa wenyewe kwa kuthubutu kugombea nafasi na tuwe wavumilivu ndani ya vyama vyetu
Ukiitawala njaa utairuhusu akili yako kufanya kazi sawasawa.
 
Nipo makini kwa kila thread zinazomuhusu Katambi....
Nataka kujuaaaa kanunuliwa kwa sh.ngapi???
 
Wewe jamaa hata hueleweki , hao kwenye red mbona ni viongozi wote wa CDM au mnataka mbowe aachie uwenyekiti ili upenyo wa kuTLP chadema ipatikane kirahisi?
They had no power at all..! Ninachoongea uelewi.
 
Tukiwa wakweli kwa nafsi zetu na uelewa wetu wa akili
Africa mambo ya siasa ya vyama vingi hatuwezi zaidi kuteletea, UADUI,UKABILA,UKANDA,UMIMI,UBINAFSI, NA HASARA KUBWA YA HELA ZA UMMA ZINAZOTUMIKA KUUELA HUU MFUMO(ruzuku ya vyama,chaguzi mbali2)

ndomaana wazungu wanatudharau sana, hivi AFRICA Huwa tunamfanyia nani haya maigizo ya siasa y a vyama vyingi?? UGANDA,RWANDA,TZ,ZIMBABWE,KENYA,BURUNDI etc ni nani huwa tunamdanganya kwa kuitisha chaguzi kuu na siasa ya vyama vingi kwa kutumia mabilioni ya hela za walipa kodi, Maana kama ni kuwadanganya au kuwafurahisha wazungu (EU na US,ofcourse China na Russia are'nt interested) sidhani kama huwa wanadanganyika/kufurahia zaidi ya kutuona sisi ma ZWAZWA,
NA KAMA HUWA NI SHINIKIZO, IFIKIE KIPINDI WAAFRICA TUJUE NINI KINATUFAA NINI HAKIFAI

(binafsi naona hili la siasa ya vyama vingi (despites faida zake) sisi bado hatujawa tayari, linatuletea migawanyiko na hasara kubwa sana......) Tafakari....

Nin maoni yako
 
Back
Top Bottom