Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Patrobas alitaka fursa gani CHADEMA?

Petrobas alitaka fursa ya kutotumika kama KARAI. Alitaka awe groomed and nurtured kuja kuwa kiongozo sio kufunzwa kuchukua tu orders za "kubeba mchanga kwenye karai".
 
Mm Katambi kanishangaza sana,Hv upinzani una serikali mpaka upewa fursa??

Fursa anayosemea Katambi n zipi??

Kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa Bavicha Taifa siyo fursa????

Upinzani hauna serikali labda tungesema pengine angeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa/wilaya,Katibu tawala Mkoa/wilaya au Mkurugenzi sasa mbaya zaid upinzn hauna serikali na haina nafasi kama hizo........
 
Dah, huyu jamaa kweli imewauma!
Na kibaya zaidi ndo kwanza yuko kwenye DAWN na sio TWILIGHT kama wale waliokuja ufipa. Imewauma sana chadema hii.

Mkuu hebu jibu hoja yake hiyo ya fursa , je ni kweli hakupewa fursa? na huko ccm kuna fursa gani kwa wanaohamia?
 
Mm Katambi kanishangaza sana,Hv upinzani una serikali mpaka upewa fursa??

Fursa anayosemea Katambi n zipi??

Kuwa kiongozi mkubwa kabisa wa Bavicha Taifa siyo fursa????

Upinzani hauna serikali labda tungesema pengine angeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa/wilaya,Katibu tawala Mkoa/wilaya au Mkurugenzi sasa mbaya zaid upinzn hauna serikali na haina nafasi kama hizo........
Akili ndogo huwezi muelewa alimaanisha nini hapa!
 
Please ccm kijana anataka fursa huyo mzee amtafutie nafasi yoyote ili maisha yaendelee

ni kweli,
Hasa kama umeamua kufanya siasa ndo kazi ya kukupatia kipato na chakula..................
Upinzani hakufai

Na vip asipopata nafasi,maana ccm inawanacham around 6M, atahama tena?????
 
Wanasiasa wooote wanaangalia fursa ya matumbo yao....haijalishi wapo chama gani.......

Hivyo kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine kusaka fursa sio ajabu
 
Wanasiasa wooote wanaangalia fursa ya matumbo yao....haijalishi wapo chama gani.......

Hivyo kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine kusaka fursa sio ajabu
Uko sahihi mkuu. Muda wa kutafuta fursa (kuji-position) kisiasa ni sasa. Hawa akina katambi, mkumbo, masha,.....washaona nafasi finyu ya upinzani kuchukua dola 2020. Kwa hivyo wanajiposition CCM ili 2020 wakutwe wameshazoeleka ili wakwae nafasi za uongozi.
 
Yaani duniani kuna mambo ya ajabu sana, yule kijana mwenzetu kumbe cheo kile bado hakulizika nacho alitaka awe nani ndani ya chama lakini mda ni kitu kizuri sana ipo siku atakumbuka hata zile posho za BAVICHA.
 
Huyu kafika Bei. Si unajua njaa au kiu haichagui chakula. MTU anaweza kula makombo mradi tu njaa ipoe.
 
ni kweli,
Hasa kama umeamua kufanya siasa ndo kazi ya kukupatia kipato na chakula..................
Upinzani hakufai
katambi na wale madiwani wa arumeru hakuna tofauiti, kachukua chake na amefanya kwa mujibu wa makubaliano. CHADEMA itasonga mbele!
 
Back
Top Bottom