Livanga JF-Expert Member Apr 15, 2010 469 148 Aug 2, 2011 #1 Hivi jana nilikutana na mtu mmoja akaniuliza kama kweli watanzania wanaipenda nchi yao kwanini wanaficha ID zao kwenye JF. Akadai unapoamua kuwa patriot utakiwi kujificha mnasemaje wana JF je hoja yake ina nguvu if u wanna be patriot disclose urslef
Hivi jana nilikutana na mtu mmoja akaniuliza kama kweli watanzania wanaipenda nchi yao kwanini wanaficha ID zao kwenye JF. Akadai unapoamua kuwa patriot utakiwi kujificha mnasemaje wana JF je hoja yake ina nguvu if u wanna be patriot disclose urslef
IGWE JF-Expert Member Feb 3, 2011 9,463 7,385 Aug 2, 2011 #2 God bless tanzania,...........hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!