Tiba
Nijuavyo mimi (and I stand to be corrected) Ukuu wa wilaya ni kazi ya kisiasa na kazi za kisiasa kiuhalisia hazina kitu kinachoitwa KUSTAAFU. Utendaji wa serikalini ndio una kitu kiitwacho kustaafu. Ukuu wa wilaya, mkoa au hata uwaziri ni swala la maamuzi ya mtu mmoja kuamua akuteue au akuache kwa mapenzi yake. Na ni swala la wewe kukubali au kukataa lakini sio KUSTAAFU.
Kuna mama mmoja Mwanza alikuwa anateuliwa kila wakati na Che Nkapa katika nafasi za ukuu wa wilaya lakini alikuwa haendi sababu alikuwa anafanya kazi ya maana Unicef iliyokuwa ikimpa mapesa mengi. Nadhani na naamini kazi za kisiasa (ukiondoa urais kwa sababu baada ya kuchaguliwa hubadilika kuwa kama mtendaji na mwajiri mkuu wa watumishi wote wa serikali) huwa hazina KUSTAAFU kwa sababu hazina hata umri wa mwisho kuziomba hata ukiwa na miaka 90 unaweza kuteuliwa ama kuchaguliwa na wapigakura.
Nachelea kukubali kuwa Jenerali Ulimwengu ALISTAAFU Ukuu wa wilaya. Nadhani usahihi ni kuwa alikataa kupokea mabadiliko ya kuhamishwa ama uteuzi aliopewa na hivyo kuachana na siasa.
As I've said earlier, I stand to be corrected!
Hapa hii habari inanichanganya.
Kuna report niliisoma juu ya hiyo IPTL saga, ambapo inasisitiza kuwa Patrick ndio alimfuata na kumshauri Mkapa kwa kumwambia waachane na IPTL then watafute alternative nyingine other than IPTL, na kam hiyo alternative nyingine inge-fail then yeye Patrick ali-offer kujiuzulu, ila Mkapa alikataa.
Sasa sijui which is which.
Anyways, hii mikanganyiko inanifanya ni-dive deep hata ktk ile issue ya Richmond-Dowans-Symbion..........nikijumlisha moja jumlisha moja napata 2, meaning hata huyo Lowassa nakuwa-convinced kuwa hakuwa na kosa lolote.
Kama Lowassa ana kosa kwenye Simbion basi hata Barrack Obama anakosa.
lakini,mbona vitambulisho vyenyewe wana jipa vigogo?
Nchi mambo yake yanashangaza sana,mfano hiyo richmond lowasa anasema"hakuna hata jambo moja tulilolifanya bila kumpatia rais taarifa,kuanzia hatua ya mwanzo kabisa...."rais naye anasema"mimi binafsi hiyo richmond siijui kabisa wala sina taarifa ya chochote kilichotokea..." baadaye akihutubia wazee wa dsm dimond jubilee rais aliendelea"lowasa hakuwa na kosa lolote bali alijiuluzu kwa sababu za kisiasa..."sasa nani mkweli hapa?
Hivi Dr Slaa si member humu Jf najua akipata nafasi atatupa jibu!
Unaposema Katili una maana gani ndugu? Fafanua ni ukatili gani aliokufanyia wewe au mtu mwingine unayemjua na ikiwezekana weka ushahidi hapa tuutafakari. Vinginevyo itauwa ni maneno ya vijiweni tu.Katili huyu jamaa sana hakika ni mtusi
Jenerali Ulimwengu alistaafu cheo kipi??????? Ubunge au????????????
Kutokusikia kwako kusifanye hiyo ndiyo iwe ukweli halisia kwa kila Mtanzania. Kwanza kutokusikia kwako kunategemea na angle ya maisha yako ilipo. Jaribu kufanya research kwanza kutafuta ukweli kuliko kusubili kusikia.
Kuna watu vile vile hawakuwahi kumsikia 'Yesu au Mtume Muhammad (S.A.W)' mpaka wamekufa lakini haina maana kuwa hawa jamaa hawakuwahi kuwepo hapa duniani kama ilivyobainishwa na research na maandiko ya kale.
Ndugu yangu heshima mbele.Unajua kukubali kukosolewa nako ni dalili ya uanaume, haya nimekubali kukosolewa ndugu yangu
Hapa hii habari inanichanganya.
Kuna report niliisoma juu ya hiyo IPTL saga, ambapo inasisitiza kuwa Patrick ndio alimfuata na kumshauri Mkapa kwa kumwambia waachane na IPTL then watafute alternative nyingine other than IPTL, na kam hiyo alternative nyingine inge-fail then yeye Patrick ali-offer kujiuzulu, ila Mkapa alikataa.
Sasa sijui which is which.
Anyways, hii mikanganyiko inanifanya ni-dive deep hata ktk ile issue ya Richmond-Dowans-Symbion..........nikijumlisha moja jumlisha moja napata 2, meaning hata huyo Lowassa nakuwa-convinced kuwa hakuwa na kosa lolote.
Kama Lowassa ana kosa kwenye Simbion basi hata Barrack Obama anakosa.
Sasa kama hii mitambo ingekuwa ina ufisadi wowote Hillary Clinton wala si Obama asingethubutu kwenda Ubungo na kuipa baraka zake. Hii ni pasua kichwa na sioni jawabu. Richmond-Dowans-now Symbion-ObamaDu na Obama tena kweli wewe unataka tugeuzwe Libya, bwana tusiwasemeseme wamarekani tuwaache waje kujichimbia zao mafuta na kuvuna gesi
Ukiongea na watu wengi aliofanya nao kazi ama wanaomjua kwa ukaribu watakueleza kuwa Patrick is one of the brilliant technocrats in this country. Additionally, I've been told that he's hard working, fearless, highly ethical and a tough cookie.
Inakuwa ni ngumu kuamini which is which.