Kwa mujibu wa gazeti la Mawio la Said Kubenea ni kwamba katibu mkuu anaestaafu ndugu Patrick Rutabanzibwa ni mzalendo na mchapakazi hodari na kwamba siofisadi ila alitajwa kwenye orodha ya mafisadi na Dr Slaa kimakosa... na kwamba Dr Slaa alikiri kuwa yalikuwa makosa kumtaja huyu mtu...
Na kingine ni kuwa bila yeye miradi mbalimbali ya serikali kama ule wa Vitambulisho vya Uraia inge kwama lakini yeye kwa kuipenda nchi yake alihakikisha inatekelezwa..
Najiuliza tu: Ukweli wa habari hizi ukoje?
Kaka katika maisha yangu yote tokea enzi za mwalimu sijawahi kusikia mtu anaestaafu kwa hiari kama kweli alikuwa mchapakazi hodari, wachapakazi hodari hawastaafu kwa hiari hata wakifika umri wa kustaafu wanaongezewa muda
Uwiiiiiiiii huyu hata mwezi bado kafisadi pale mivinjeni kurasini kiwanja cha hekari sita kwa kisingizio cha fidia kumbe hiyo kampuni iliopewa hiko kiwanja yeye ana hisa aailimia 70%
Ishu hapa ni hili gazeti la kubenea kusema DR Slaa amekiri huyu jamaa sio fisadi
natamanikusikia chadema wanasemaje na hili
Mkuu mbona Jenerali Ulimwengu aliomba kustaafa mapema na kwendelea na shughuli zake binafsi, mbona hakuna aliye hoji hilo? Why pick on RUTTA.Kaka katika maisha yangu yote tokea enzi za mwalimu sijawahi kusikia mtu anaestaafu kwa hiari kama kweli alikuwa mchapakazi hodari, wachapakazi hodari hawastaafu kwa hiari hata wakifika umri wa kustaafu wanaongezewa muda
Mkuu mbona Jenerali Ulimwengu aliomba kustaafa mapema na kwendelea na shughuli zake binafsi, mbona hakuna aliye hoji hilo? Why pick on RUTTA.
Hivi umeelewa alichokisema Bornagain? Au unakimbilia kumtetea mnyarwanda mwenzako?Mkuu mbona Jenerali Ulimwengu aliomba kustaafa mapema na kwendelea na shughuli zake binafsi, mbona hakuna aliye hoji hilo? Why pick on RUTTA.
Hivi umeelewa alichokisema Bornagain? Au unakimbilia kumtetea mnyarwanda mwenzako?