Patrick Ole Sosopi mwenyekiti BAVICHA taifa atoa shukrani

Patrick Ole Sosopi mwenyekiti BAVICHA taifa atoa shukrani

FIRST CHOICE mpaka aende kwa JPM ndo SASOPI apate nafasi, hana sifa. Huyo sio chaguo la bavicha, kapachikwa tu hapo na Dj kama kawa. Safu ya KASKAZINI FC lazima ikamilike. Haaminiwi mtu wa kanda nyingine hapo. Dj sasa hivi anashukuru TL kapinguza spidi ya kukifuata kiti cha uenyekiti maana alikuwa anaogopa, nadhani kampiga stopu kiaina.
 
FIRST CHOICE mpaka aende kwa JPM ndo SASOPI apate nafasi, hana sifa. Huyo sio chaguo la bavicha, kapachikwa tu hapo na Dj kama kawa. Safu ya KASKAZINI FC lazima ikamilike.
Acha ukabila kma kuna ukanda katambi angepita ..... Heche angepita..... Shonza mwapamba na sasa getrude ndibalema, julius mwita wangepata nafasi kma kuna ukanda??? Achaga hizo nyie mmejaza mawaziri wa kutoka kanda moja watu wamekaa kimya ila mnajifanya kuona ya upinzani kisa tu sosopi kapewa!!! Shame on u
 
YEHODAYA: Wewe na wenzako endeleeni na 'msukuma' wenu Katambi aliyefika bei. Misukuma nimeichukia sana kwa tabia mbaya wanazozionyesha kuanzia kwa bosi wao. Sosopi alisema vema kuwa Katambi ameshindwa hata kumshawishi mwenezi wa chama ngazi ya kitongoji kumfuata.
 
TIMU imekamilika

.Mwenyekiti chadema taifa anatoka kaskazini -Mbowe
mwenyekiti BAWACHA taifa HALIMA mdee anatoka kaskazini
Mwenyekiti BAVICHA taifa -Ole sosopi masai wa kaskazini
Mweka hazina chadema taifa- Mrema anatoka kaskazini
Mgombea uraisi chadema Taifa anatoka kaskazini Masai LOWASA

NK NK NK
Acha utoto ingekuwa ukabila katambi angewekwa aachwe saanane ??? Kwa sosopi kakulia kusini au kisa unaona ana asili ya umaasai basi unaconclude ni mkaskazini?? Kwa taarifa ako aligombea ismani huko iringa we baki na ukabila wako tuone utakusaidia nni
 
Sosopi ni wa Iringa, tena kule Ismani kwa Lukuvi. Aligombea na ubunge Ismani na kumhenyesha kweli Lukuvi.
Kwa hiyo mmasai aliyekosa malisho ya ngombe Arusha AKISWAGA ng`ombe wake kwenda kulisha Iringa akifika kule anageuka gafla kuwa mhehe au mbena wa Iringa??? Ole SOSOPI masai wa kaskazini
 
TIMU imekamilika

.Mwenyekiti chadema taifa anatoka kaskazini -Mbowe
mwenyekiti BAWACHA taifa HALIMA mdee anatoka kaskazini
Mwenyekiti BAVICHA taifa -Ole sosopi masai wa kaskazini
Mweka hazina chadema taifa- Mrema anatoka kaskazini
Mgombea uraisi chadema Taifa anatoka kaskazini Masai LOWASA

NK NK NK
Wana msimamo ni vigumu kuhongeka
 
YEHODAYA: Kama huna habari na afanyacho mzee wako basi ngoja nikukumbushe kuwa hawa wote hapa chini wanatoka ukanda mmoja lakini watanzania hatusemi kitu:
1. Mkuu wa kaya
2. Mlipaji mkuu wa fedha za serikali
3. Jaji mkuu
4. Mwanasheria mkuu wa serikali
4. DPP
5. Mkuu wa JWTZ
6. IGP
7. Waziri wa Nishati
8. Naibu waziri wa Ardhi
9. Waziri wa viwanda
10. Waziri wa Kilimo na uvuvi
11. Naibu waziri, ndugu Mabula
12. Waziri Mpina
13. RC wa Dar
14. RC wa Iringa
Na wengine wengi tu. Orodha ni ndefu ya kutoka ukanda huo.

Hoja ni kwamba usianze kunyoosha kidole cha ukanda bila kujua madhara yake. Unaweza kuwasema wengine kumbe na wengine wanafanya hayo hayo. Sasa je, tuseme kwa orodha hiyo hapo juu kulikuwa na agenda ya ukanda? Tanzania hatuna agenda ya ukanda. Tunaamini hata kama watu wanatoka familia moja na wote wapo kwenye nafasi fulani basi tunaamini waliteuliwa au walipata nafasi hiyo kwa sifa walizo nazo na siyo hiyo hoja yako ya ukanda. Chunga sana ndugu, hoja yako ya ukanda haina afya kwa Taifa.
 
Safi Sosopi naikubali misimamo yako, iamshe Bavicha maana ilikuwa kwenye sleeping mode. Nilifurahi juzi ulikuwa Star TV, uliongea vyema lakini mwisho ulichemsha kwa kushindwa kusema cdm ina ajenda gani. Jitahidi ww na wenzako kuanzia sasa kila mkipata nafasi muonyeshe ajenda yenu. Ni vyema mkajikita kwenye kuinua kilimo na ajira. Sasa hivi Magufuli na serekali yake wanaimba viwanda viwanda, hata kama havipo kwa hivyo lakini inaonekana wanasimamia nini. Nyie wapinzani msijikite kwenye hoja za madaraka tu mtapigwa bao.
 
TIMU imekamilika

.Mwenyekiti chadema taifa anatoka kaskazini -Mbowe
mwenyekiti BAWACHA taifa HALIMA mdee anatoka kaskazini
Mwenyekiti BAVICHA taifa -Ole sosopi masai wa kaskazini
Mweka hazina chadema taifa- Mrema anatoka kaskazini
Mgombea uraisi chadema Taifa anatoka kaskazini Masai LOWASA

NK NK NK
Umepotoka kishamba sana ! Nadhani ni kwa sababu ya ukabila , Ole Sosopi ni Mmasai wa Isman - Iringa , tunamuanda kumng'oa Nkurunzinza Lukuvi , huko ndio kwao alikozaliwa , kukulia na kuishi hadi leo.

Ubaguzi utakudhalilisha sana .
 
Halafu wewe kutetea wakenya huchoki sosopi ni Masai wa Kenya ambaye hujifanya famila yake ni Masai wa Arusha wakati ni Masai walitokea Longido kenya alikotokea mamaake Lowasa
 
TIMU imekamilika

.Mwenyekiti chadema taifa anatoka kaskazini -Mbowe
mwenyekiti BAWACHA taifa HALIMA mdee anatoka kaskazini
Mwenyekiti BAVICHA taifa -Ole sosopi masai wa kaskazini
Mweka hazina chadema taifa- Mrema anatoka kaskazini
Mgombea uraisi chadema Taifa anatoka kaskazini Masai LOWASA

NK NK NK
Acha kujichanya huoni jinsi mwenyekiti wetu alivyojaza wasukuma kwenye serikali yake
 
Back
Top Bottom