Patrick Ngiloi Panone na Ajira

Patrick Ngiloi Panone na Ajira

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Nimefanikiwa kufika kwenye kampuni ya Patrick Ngiloi Olomi ya Panone company and LTD. Kwa kweli kampuni hii haina ubaguzi wa kikabila wala rangi
Kama zilivyo nyingi hapa Bongo. Huyu bwana amezalisha ajira nyingi kwa vijana. Na sasa amefungua mradi wa supermarket kwenye magari
Na utengenezaji vitafunwa panone bakery. Hii ni kampuni ya kizalendo kabisa 99.9% imeajiri watanzania.

Tujivunie kampuni hii
 
Hii kampuni iko wapi?
 
Back
Top Bottom