ndio MO ndio kila kitu simba, hukumbuki alivyolalamika kutumia bilion 4 kuhudumia timu ikabidi viongoz wa simba wampigie magoti? MO akiondoka na timu imekufa
ndio MO ndio kila kitu simba, hukumbuki alivyolalamika kutumia bilion 4 kuhudumia timu ikabidi viongoz wa simba wampigie magoti? MO akiondoka na timu imekufa
Simba ni brand kubwa weweee,sisi tutasonga mbele hata akijiachia leo,matajiri wa Simba tupo wengi tu na tutapeana majukumu ya kuisimamia timu yetu kama zamani
Simba ni brand kubwa weweee,sisi tutasonga mbele hata akijiachia leo,matajiri wa Simba tupo wengi tu na tutapeana majukumu ya kuisimamia timu yetu kama zamani
Alirudisha kwasababu hela ni ndogo na Mambwa FC hawakuwa na uwezo wa kumuongeza, vilevile walishindwa kumkubalia mshahara aliouhitaji kwenye Mkataba mpya.
Alirudisha kwasababu hela ni ndogo na Mambwa FC hawakuwa na uwezo wa kumuongeza, vilevile walishindwa kumkubalia mshahara aliouhitaji kwenye Mkataba mpya.
Wanachoelewa wao mpira ni Wananchi utafikiri chama cha siasa na Wapiga kura! Mwisho wa siku na wananchi wao wanaojigambia basi mishahara ya Wachezaji tu inawashinda ππ
Juzi kwenye daladala kuna shabiki mmoja wa Utopolo fc akawa analopoka eti Simba wa mme wao MO, mmoja akamuuliza mbona na nyie mlikua na Manji akawaacha saizi mnaye GSM. Akaanza kulopoka tena namnukuu, ( sisi Utopolo fc hatuna Mme ka ma MO, wa kwetu sisi hana hela ka wenu). Mwisho wa kumnukuu.
Badae akauulizwa tena ko unamkataa GSM kua mme wenu kisa hana hela ka MO? Lakini si anakuhudumia kila kitu?
Badala kujibu hoja akaendelea kuropoka tena , nyie Simba mmeolewa.
Mi kwa sababu nilikua msikilizaji nikakumbuka kauli ya Luc kua mashabiki wa Utopolo fc yanabweka tu ka mbwa na kuropoka ka Manyani.
Cha kushangaza Aibu wanayoiona ni Mambwa FC, Lakini sisi Simba SC haikuwa aibu kwetu bali tunajivunia na kukifurahia kitendo kile kuwa ni cha kishujaa.
Mashabiki wa Manyani FC kama mleta Uzi ndiyo wanajifanya eti ni Simba na kulalamika! Narudia tena hakuna Mshabiki wa Simba anayelalamika! Sote tunafuraha.