Leo Hii, Producer Mkongwe wa Bongoflava Pfunk Majani ametutambulisha mtoto wake wa Kwanza Aitwaye Patricia.. Binti huyu Ndio Dada yake Paula wa Kajala anasoma Chuo Cha sheria huko UK Uingereza..
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Mbona amekaa uchii ?? Babaaake akupewa nyengin picha zaidi ya iyo ?? Tena atakuwa ametungika mimba tuu .. mtoto maisha yashamnyookeya yeye ndo ana anzaa kuukubali ubaba shenzi type
Na ukiwa mchapaji mzuri wa mabinti wa wenzako jiandae na wako kuliwa.
Majani katafuna sana underground's artist wakike waliotaka kutoka sasa ni zamu yake wahuni sio watu wazuri sasa hivi akili inamkaa vizuri