Patrice Lumumba

A true African Nationalist akifuatiwa na Thomas Sankara.

Hawa pia story zao za maisha zinafanana. Wote walisalitiwa na marafiki zao wa karibu. Lumumba akisalitiwa na Mobutu while Sankara alisalitiwa na Blaise.

Wote ndoto zao zilikua zinafanana na walikua na charisma zinazofanana.

Wote walifanyiwa figisu figisu na nchi za Ulaya, Lumumba aliuawa kwa ushirikiano baina ya C. I. A, Belgium na Mobutu Militias. Sankara aliuawa kwa Blaise kushirikiana na wafaransa.

Kosa lao moja kubwa ni moja tuuu.

Waliwahi kuja duniani kabla ya muda wao. Wangekuja duniani kama miaka 100 ijayo kwasabbu walikuwa wanaongea mambo ambayo ni sooo far ahead of their time. Kipindi hicho ilikua ngumu wananchi wao kuwaelewa sembuse kwa wazungu.

Si ajabu kuna wanasiasa hapa Tanzania ambao hatuthamini michango yao sasa hivi ila tutakuja kuwakumbuka hapo baadaye.

Mmoja wa huyu mwanasiasa ni Zitto Kabwe pamoja na weaknesses zake zoteee nafikiri ndo mwanasiasa mwenye intellect na personality ya kuigwa na wanasiasa wote vijana.
 
Story ya Patrice Lumumba inasikitisha sana, Mobutu alikua first right man wake kumbe aliajiriwa na Belgiji.
 
Dah, huyu kiongozi kwa kweli alijaliwa sana. ukiangalia kipaji cha hali ya juu pamoja na maono aliyokuwa nayo kulinganisha na umri wake wakati huo..,
Sikuamini nilipokuja kufahamu kuwa wakati anauwawa alikuwa na umri wa miaka 35 tu..!!
 
Hapa Tanzania tunae John Magufuli, Zitto Kabwe,Jakaya Kikwete,January Makamba,Benard Membe,Nape Nnauye na Paul Makonda hawa mpaka wakija kufa ndio tutajua kwamba walikua ni Tunu kwa taifa kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Nawazungumzia wale waliorudisha chenji! Acha kujitoa ufahamu!
Uliambiwa na Viongozi wako ukishapiga kura rudi mita miambili anza kulinda kura hakuna kutoka hadi kieleweke wee ukapuuza ukaenda kula kiroba cha A town sasa ulitaka kura zako akulindie nani?
 
Ndio maanachama dola CCM kutokana na uzalendo wake na kumuenzi mzalendo huyu wakadiliki kuiita makao ndogo yao LUMUMBA na kweli wanasadifu yaliyomo. Naomba muongozo mtaa wapili kunaitwaje na vipi jina linasadifu yaliyomo
 
Kuna chuo kikuu kimoja kilikuwa Moscow kilikuwa kinaitwa Patrice Lumumba university now kimebadirishwa jina wazungu walimuenz kihivyo
 
I salute you ndugu tangu.. Nimekuelewa sana.. Hawa jamaa walikuwa muda ambao sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…