Pato La Taifa Tanzania Lafikia Trilioni 130.18/=

Pato La Taifa Tanzania Lafikia Trilioni 130.18/=

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
IMG-20180523-WA0009.jpg
 
Lakini kuna wazazi wanakufa kwa kujifungua kwenye mazingira yasiyo salama. Hawana usafiri wa kuwafikisha hospitali kubwa wakipata haemorrhage. Mvua zikinyesha kusafirisha gunia ka mahindi ni shida
 
Mmiliki wa gazeti hili na wasomaji wake wanapaswa kupimwa akili kama ziko sawa, maana kwa aina ya habari zake ukiwa na akili timamu wala huwezi kujihangaisha kulisoma
 
Serikali inajichongea yenyewe Kwa Wananchi
Wizara ya Maji imepewa asilimia ngapi Kwenye Bajeti!?
Halafu mnaonyesha Watu kuwa mnakusanya Fedha.
Huku Mkishindwa kufikisha Huduma Muhimu Kwa Jamii.
 
Serikali inajichongea yenyewe Kwa Wananchi
Wizara ya Maji imepewa asilimia ngapi Kwenye Bajeti!?
Halafu mnaonyesha Watu kuwa mnakusanya Fedha.
Huku Mkishindwa kufikisha Huduma Muhimu Kwa Jamii.
Kama wewe nyumbani kwako hauna vipaumbele basi ni tatizo lake na kama unavyo lakini havibadiliki vinabakia hivyo hivyo.
 
Bungeni alivyotimuliwa, bado akili aijamkaaaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Lakini kuna wazazi wanakufa kwa kujifungua kwenye mazingira yasiyo salama. Hawana usafiri wa kuwafikisha hospitali kubwa wakipata haemorrhage. Mvua zikinyesha kusafirisha gunia ka mahindi ni shida
Ndo sbb hata India bahadhi ya maeneo ni maskini wa kupitiliza lakini wanatupa msaada.
 
Mmiliki wa gazeti hili na wasomaji wake wanapaswa kupimwa akili kama ziko sawa, maana kwa aina ya habari zake ukiwa na akili timamu wala huwezi kujihangaisha kulisoma
Hili linasomwa na Watanzania halisi wanatafuta mkate kwa jasho lao halisi.
 
690818-9516fadccd30d0872d2104ef15f5d816.jpg

Tunaipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi mahiri wa Mhe. JOHN POMBE MAGUFULI, najua wale nyumbu watapinga tu
 
Attachments

  • pato la taifa.jpg
    pato la taifa.jpg
    75.2 KB · Views: 36
Lakini kuna wazazi wanakufa kwa kujifungua kwenye mazingira yasiyo salama. Hawana usafiri wa kuwafikisha hospitali kubwa wakipata haemorrhage. Mvua zikinyesha kusafirisha gunia ka mahindi ni shida
Sekta ya afya inaangaliwa kwa umakini, hao kina mama walishaanza kuboreshewa mazingira na bado yataboreshwa zaidi. Haiwezekani kukamilisha kila kitu kwa siku moja hata nchi ingeshikwa na nani. Kwa muda ambao mheshimiwa JOHN MAGUFULI amekaa madarakani kwa kweli kuna vitu amefanya kwenye sekta ya afya hata kama hamtakubali. Na naamini kwa kipindi chake mambo mengi yatabadilika na hata upinzani unajua hilo na sera za kuongea hamna tena. Aendelee kupewa support ili atimize yale aliyokusudia kwa wanyonge si kupinga kila kitu.
 
Hongera serikali lakini ningependa kufahamu ni sekta zipi za kiuchumi zilizosababisha GDP kupanda! Haya mambo unaweza kukuta GDP kuuuuubwa lakini sekta zilizochangia ukuaji huo ni zile zinazofaidisha makampuni ya nje!!

Naomba kufahamu ikiwa kilimo kipo katika top 5 ya zinazochangia GDP

Naomba kufahamu ikiwa ufugaji upo katika top 5 ya zinazochangia GDP

Naomba kufahamu SME ipo katika top 5 ya zinazochangia GDP

Sina cha kujivunia ikiwa GDP hiyo inachangiwa sana na sekta ya madini iliyohodhiwa na wageni,

Sina cha kujivunia ikiwa GDP hiyo inachangiwa sana na sekta ya ujenzi wakati kandarasi kubwa zote zipo mikononi mwa wageni

Sina cha kujivunia ikiwa GDP hiyo inachangiwa sana na sekta ya mawasiliano ambayo share kubwa inamilikiwa na wageni

Sina cha....
 
Lakini kuna wazazi wanakufa kwa kujifungua kwenye mazingira yasiyo salama. Hawana usafiri wa kuwafikisha hospitali kubwa wakipata haemorrhage. Mvua zikinyesha kusafirisha gunia ka mahindi ni shida

Hao hata Marekani na Ulaya wapo ndugu yangu. Hakuna taifa lisilo na masikini. Ukweli ni kwamba Ingawa JPM ananunua Dreamliner na kujenga standard gauge, kutafuta nauli za kupanda hizo ndege na train ni jukumu lako. It is a strange world lakini hali ndo hiyo.
 
Back
Top Bottom