herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,744
MUSIBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Siyo kwenye afya tu!Sekta ya afya inaangaliwa kwa umakini, hao kina mama walishaanza kuboreshewa mazingira na bado yataboreshwa zaidi. Haiwezekani kukamilisha kila kitu kwa siku moja hata nchi ingeshikwa na nani. Kwa muda ambao mheshimiwa JOHN MAGUFULI amekaa madarakani kwa kweli kuna vitu amefanya kwenye sekta ya afya hata kama hamtakubali. Na naamini kwa kipindi chake mambo mengi yatabadilika na hata upinzani unajua hilo na sera za kuongea hamna tena. Aendelee kupewa support ili atimize yale aliyokusudia kwa wanyonge si kupinga kila kitu.
Hili gazette magufuli atalifadhili au tayari linafadhiliwa kwa hizi data. Takwimu zake ni tofauti na zile za CAG, TRA na Bunge. Haya ndio magazeti ya kufungia kwa kosa la uzushi.
HahahaaaaHao hata Marekani na Ulaya wapo ndugu yangu. Hakuna taifa lisilo na masikini. Ukweli ni kwamba Ingawa JPM ananunua Dreamliner na kujenga standard gauge, kutafuta nauli za kupanda hizo ndege na train ni jukumu lako. It is a strange world lakini hali ndo hiyo.