Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
i often wounder why big opportunities such as yours happens when im broke?hey guys..natafuta partner wa kufanya nae kipindi cha tv..awe capable financially!na sio hela ndogo..kuanzia 5m.!the show is great and will earn you big money..kama kuna mtu yupo interested..inbox me..
hey guys..natafuta partner wa kufanya nae kipindi cha tv..awe capable financially!na sio hela ndogo..kuanzia 5m.!the show is great and will earn you big money..kama kuna mtu yupo interested..inbox me..
jamani..my real name ni salama jumanne..na sio kwamba nimetumia jina la salama jabir..hapana.!hakuna utata wowote and thats y nikasema kama upo interested check on me..budget ya kipindi ni kubwa inaenda kwenye 100m.!ila kwa jinsi kilivyo kizuri..am sure hatutakosa sponsors
my join date doesnt matter..what matters is what i want to do!usidhani kila mtu ni tapeli..ata mm nachukua risk to display my idea kwa watu siwajui..wat if idea yangu iibiwe..and i joined jamii forums especially for this purpose na sio nyingne
hey guys..natafuta partner wa kufanya nae kipindi cha tv..awe capable financially!na sio hela ndogo..kuanzia 5m.!the show is great and will earn you big money..kama kuna mtu yupo interested..inbox me..
dnt you worry..mambo yakienda sawa!maisha kusaidiana..