Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
Kama wewe ni afande na unakwenda kuitembezea kichapo njemba kama hii lazima ujipange aiseee.
Unaweza kula za uso ukaishia kupiga kelele "Good Morning sir", wakati hauko darasani.
Mbona mlaini sana huyo yaani kama alivyokaa huyo mnaemwita njemba hapo hapo bila mi namshusha na haamini nimeanzia wapi labda yale maumivu ndo yatamjulisha palipoguswa.
Ha ha... Utamuweza wakati nasikia wewe unaogopa hadi mende!...Mbona mlaini sana huyo yaani kama alivyokaa huyo mnaemwita njemba hapo hapo bila mi namshusha na haamini nimeanzia wapi labda yale maumivu ndo yatamjulisha palipoguswa.
Mimi sio wa dar bhana.Ha ha... Utamuweza wakati nasikia wewe unaogopa hadi mende!...
View attachment 909438
Kama wewe ni afande na unakwenda kuitembezea kichapo njemba kama hii lazima ujipange aiseee.
Unaweza kula za uso ukaishia kupiga kelele "Good Morning sir", wakati hauko darasani.
Mkuu kwa sisi wataamu tunaangalia mtu anakujaje,hapo hao police wanaenda kumvaa jamaa kizembe sana, yaani wanaenda kichwa kichwa wakati jamaa kakaa mkao wa Ku attackSuala hapa siyo maumbile au ukubwa wa mwili, bali ni mbinu na mikakati...njemba inaweza ikapigwa ngumi moja tu ya solar plexus na ikatulia...
Unaipiga teke hapo kati, pu*** zina pasuka anakufaView attachment 909438
Kama wewe ni afande na unakwenda kuitembezea kichapo njemba kama hii lazima ujipange aiseee.
Unaweza kula za uso ukaishia kupiga kelele "Good Morning sir", wakati hauko darasani.