Patachimbikaaaaaa!!!!

Haki ya nani siye mabachela sugu tuna kazi...

Hivi hakuna forum la wachumba na. Wengine tukachumbie huko tupate wenza?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Haki ya nani siye mabachela sugu tuna kazi...

Hivi hakuna forum la wachumba na. Wengine tukachumbie huko tupate wenza?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ingia kwenye mtongozano ama anzisha thread ya kutafuta mchumba. Faster unapata, all the best
 
unajua gharama niliyo tumia mpaka nikampata?
hebu niachieni mke wangu
Gharama gani uliyotumia? halafu unamuitaje mke hata kujitambulisha haujaenda kila siku unampiga kalenda kasema yote na ndo umemkosa huyo....amepeperuka hukujua umuhimu wake eeee 'valentina' njoo huku bwana unakuaje na mtu hakujali bana raha yake iko wapi unalialia hebu njoo ufutwe machozi huku mpaka utajilaumu kuwa ulikuwa wapi siku zote
 
Hahaaa,jiwe la chumvi tena jamani
Eeeeh! njoo tufanye yetu we mtu kakuacha siku zote hizo hata bila kukupa taarifa na kila siku unalalamika,utalalamika mpaka lini hebu chukua hatua nikufute machozi yako nikuondolee upweke ulionao
 
Best unajua nakupenda sana eeeh, sasa jaribu kufanya maamuzi Daudi1 unamjua bonge la mzungu. na Uran wamjua pia sasa kazi ni kwako.
cc: Valentina
 
Eeeeh! njoo tufanye yetu we mtu kakuacha siku zote hizo hata bila kukupa taarifa na kila siku unalalamika,utalalamika mpaka lini hebu chukua hatua nikufute machozi yako nikuondolee upweke ulionao

Oops,una karibia kuwin my heart! Ebu endlea kutoa sera zako
 
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo

Hv umeandika lugha gani siyaoni vzr hebu rudia kwa herufi kuu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…