we ni KE au ME? nenda kwenye uzi wakutongozana umsubirie wa kwako huko
hapa ni muda wa mimi na mke wangu kufanya yetu..
Hongera kwa kurudi nyumbani embu mtunze mkeo sio kumwacha mwenyewe wakati wa sikukuu
Nani huyo?Hao nitawafanya majenereta bby wangu
Nani huyo?
Nani huyo?
Hiyo kawaida sana mbona majaribu ni mtaji wa kuongeza imani,kwa hiyo mimi nimetumika kama jaribu ili kuimarisha upendo wao bila mimi kuleta amsha amsha jamaa angebweteka na bibie asingejua mwelekeo wakeSi wewe, kwani nani alikuwa anamfukuzia Valentina kama siyo wewe best.
Natoa pole za dhati kwako best yangu, vumilia ndio mapenzi.
Aisee labda alikuwa anamaanisha mwingine maana anajua kabisa mimi siwezi kuwa jenereta ngoja hapa aniambia kuwa alikuwa ananirembulia macho umbe anataka kunifanya jenereta.Sasa ndugu yangu wewe ni Generator la diesel au petrol?
Nani huyo?
Aisee labda alikuwa anamaanisha mwingine maana anajua kabisa mimi siwezi kuwa jenereta ngoja hapa aniambia kuwa alikuwa ananirembulia macho umbe anataka kunifanya jenereta.
Aisee labda alikuwa anamaanisha mwingine maana anajua kabisa mimi siwezi kuwa jenereta ngoja hapa aniambia kuwa alikuwa ananirembulia macho umbe anataka kunifanya jenereta.
Wewe dzel afu yeye petrol
Ila wewe Mtoto mzuri!!!.
Yale mamistari yenu yote kwishaa, rich we si wakufanywa diesel hata kidogo..