Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
kamatia mpaka mwisho.Nimeipenda sana hii thanks you have made my day kwahiyo niendelee kuwa voda siyo
ukweli, tigo imekaa kiuhuni fulani hivi.Duh kwenye tigo unagusa wengi! Ila ukwel nikikuta msichana asiyetumia tigo uwanamchukulia level ya juu na wengi wao ni wastaharabu.
kikikomaa kinakuwa na tabia kama za tigo.SASA TELL...Nikijisichana kinacho jiandaa kichangu doa......
eheee nimekumbuka, wengi wao machangudoa na wanafunzi wa sekondari wanaotumia simu wakati hawaruhusiwi.Duh kwenye tigo unagusa wengi! Ila ukwel nikikuta msichana asiyetumia tigo uwanamchukulia level ya juu na wengi wao ni wastaharabu.
Hapo kwenye red, we utakuwa na hisa na Rostam AzizTukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa!
ni udaku tu usichukie
Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo;
Zantel ni jimama la kulea vitoto;
ttcl ni kibibi kinachojilazimishia ujana;
tiGO changudoa asiejali maslahi na asie na bei;
vodacom ni demu mwenye msimamo anaefaa kuwa mke , haya sasa, jichagulie.