Pata vyombo vya nyumbani kutoka Zanzibar

Sisi wa huku Arusha je?
 
So wapa Dsm ina maana pia hatupati mzigo
Au tunaupata vip, na malipo yamekaa vip
Fanya kuelezea
Nataka hio pressure cooker na Airfry
 
Kwa uhakika hasa nimeacha kusafirisha vyombo kwa wateja wa nje ya Zanzibar,sababu kuu kuna changamoto nyingi ila nitataja mbili, ya kwanza ni vyombo kuharibikia njiani na ya pili ni vyombo kupotea tokana na wateja kuchelewa kupokea kutoka bandarini.

Kwa sasa natafuta msafirishaji wa uhakika ambaye ataweza kupambana na hizo changamoto mbili.nikipata nitawajuza
Asante
 
VIPI RADIO NA ELECTRONICS NYINGINE ZA MTUMBA HAPO ZANZIBAR TUPE CONNECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…