Pata VIWA smartphones kwa bei rahisi

Pata VIWA smartphones kwa bei rahisi

Battery safi ila front camera na ram mmhh

Yeah RAM ndogo but it works perfectly, front camera aisee daaa simu nying front camera zina pixels chache mkuu, labda simu kubwa zinazotoka recently kidogo wanajaribu kuingoza pixels, mm natumia galaxy note 3 na front camera ni 2MP tu ila ni mzuka sana kwa selfie
 
me natumia v.5 but internal memory ni 4 gb na siyo 8 GB kama ulivyoandika wewe kulikoni????

Mkuu nimeiona ni nzr kwa muonekano na baadhi ya features zake. Naomba unisaidie STRENGHTS and WEAKNESSES za hiyo simu. Naomba ushauri wako kutokana na experience ya kuwa nayo.
 
Back
Top Bottom