Wewe unamiliki Bajiji au Pikipiki? Pata GPS Tracking devices kwa bei sawa na bure

Thesis

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,372
2,000
Wana jamvi, kwa wale waliopo Mkoani Dodoma, ninauza na kufunga GPS tracker za pikipiki na bajaji na magari. Huduma ya kufungiwa vifaa hivi pia wanaweza kuipata wale waliopo Iringa Mjini na watatakiwa kunigharamia nauli.

GPS Tracker inafanya kazi gani??
Hiki ni kifaa kinachofungwa kwenye chombo chako cha moto kwa ajili ya kukuwezesha wewe mmiliki kuweza kufuatilia na kujua chombo chako mahali popote kilipo. Kifaa hiki kitakuwezesha kujua chombo chako kipo ON au OFF na kinakwenda kwa speed gani. Kifaa hiki kinaunganishwa na mfumo wa umeme wa pikipiki au gari au bajaji yako na endapo kutakuwa na disconnection ya mfumo wa umeme kifaa hicho kitakupa taarifa ya disconnection na mahali kilipo kabla hakijaishiwa moto na kuzima kabisa.

Kwanini ufunge GPS tracker kwenye pikipiki yako au bajaji?
1. Hivi ni vyombo vya moto ambavyo rate ya wizi ni kubwa sana. Na kwa bahati mbaya mashirika ya bima yamekuwa yakikataa kutoa bima ya comprehensive na hivyo kumuweka mmiliki kupoteza tumaini la kupata chombo chake au angalau hata kulipwa na bima endapo chombo chake kitapotea. Lkn endapo umefunga kifaa hiki, ww mwenyewe utaweza kuwaonesha Polisi wapi bajaji yako au pikipiki ipo na hivyo mnaenda kuichukua kama vile mliiweka ;
2. Madereva wamekuwa na tabia ya kusingizia kuwa biashara ilikuwa mbaya na hivyo kuleta hesabu pungufu. Lakini kupitia vifaa hivi utaweza kubaini endapo dereva anasema kweli au anaongopa kwani mizunguko yake ya siku nzima utakuwa na uwezo wa kuiona kupitia smartphone yako tu au tarakilishi yako.
3. Kukupa amani ya moyo kwa kuwa kila mara utaweza kujua chombo chako kipo mahali gani na kinatembea kwa speed gani au kimepaki wapi.

Kifaa kinafanyaje kazi?
Ni rahisi, kama unajua kupiga simu, kutuma sms na kutumia google map utaweza kutumia kifaa hiki bila shida yoyote.

Mimi binafsi si kampuni wala sio dalali bali ni mtu binafsi. Vifaa hivi mimi huwa nanunua kwa ajili ya kufunga kwenye bajaji na pikipiki zangu, na hivyo nimebakiwa na pcs kama sita hivi. Mtu yeyote alie tayari kufungiwa anitafute pm nitamtumia namba yangu ya simu, kipaumbele ni kwa walio Dodoma kwa kuwa mimi Mwenyewe nipo dodoma. Bei ya device moja kwa aliyepo Dodoma ni 130,000, devices ni waterproof. Ni one time payment, Haina malipo ya kila mwezi, ni ww tu kujaza vocha kifurushi cha buku na unaenjoy mwezi mzima.
 
Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
641
500
Wana jamvi, kwa wale waliopo Mkoani Dodoma, ninauza na kufunga GPS tracker za pikipiki na bajaji na magari. Huduma ya kufungiwa vifaa hivi pia wanaweza kuipata wale waliopo Iringa Mjini na watatakiwa kunigharamia nauli.

GPS Tracker inafanya kazi gani??
Hiki ni kifaa kinachofungwa kwenye chombo chako cha moto kwa ajili ya kukuwezesha wewe mmiliki kuweza kufuatilia na kujua chombo chako mahali popote kilipo. Kifaa hiki kitakuwezesha kujua chombo chako kipo ON au OFF na kinamwenda kwa speed gani. Kifaa hiki kinaunganishwa na mfumo wa umeme wa pikipiki au gari au bajaji yako na endapo kutakuwa na disconection ya mfumo wa umeme kifaa hico kitakupa taarifa ya disconection na mahali kilipo kabla hakijaishiwa moto na kuzima kabisa.

Kwanini ufunge GPS tracker kwenye pikipiki yako au bajaji?
1. Hivi ni vyombo vya moto ambavyo rate ya wizi ni kubwa sana. Na kwa bahati mbaya mashirika ya bima yamekuwa yakikataa kutoa bima ya comprehensive na hivyo kumuweka mmiliki kupoteza tumaini la kupata chombo chake au angalau hata kulipwa na bima endapo chombo chake kitapotea. Lkn endapo umefunga kifaa hiki, ww mwenyewe utaweza kuwaonesha Polisi wapi bajaji yako au pikipiki ipo na hivyo mnaenda kuichukua kama vile mliiweka ;
2. Madereva wamekuwa na tabia ya kusingizia kuwa biashara ilikuwa mbaya na hivyo kuleta hesabu pungufu. Lakini kupitia vifaa hivi utaweza kubaini endapi dereva anasema kweli au anaongopa kwani mizunguko yake ya siku nzima utakuwa na uwezo kuiona kupitia smartphone yako tu.
3. Kukupa amani ya moyo kwa kuwa kila mara utaweza kujua chombo chako kipo mahali gani na kinatembea kwa speed gani au kimepaki wapi.

Mimi binafsi si kampuni wala sio dalali bali ni mtu binafsi. Vifaa hivi mimi huwa nanunua kwa ajili ya kufunga kwenye bajaji na pikipiki zangu, na hivyo nimebakiwa na pcs kama sita hivi. Mtu yeyote alie tayari kufungiwa anitafute pm nitamtumia namba yangu ya simu, kipaumbele ni kwa walio Dodoma kwa kuwa mimi Mwenyewe nipo dodoma. Bei ya device moja kwa aliyepo Dodoma ni 130,000, devices ni waterproof. Ni one time payment, Haina malipo ya kila mwezi, ni ww tu kujaza vocha kifurushi cha buku na unaenjoy mwezi mzima.
Contact pleaseeeeee
 
Thesis

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,372
2,000
Karibu ujipatie GPS Tracker kwa bei nafuu. PM zote zinajibiwa na maswali pia yanajibiwa.
 
greybakuza

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
902
1,000
Wana jamvi, kwa wale waliopo Mkoani Dodoma, ninauza na kufunga GPS tracker za pikipiki na bajaji na magari. Huduma ya kufungiwa vifaa hivi pia wanaweza kuipata wale waliopo Iringa Mjini na watatakiwa kunigharamia nauli.

GPS Tracker inafanya kazi gani??
Hiki ni kifaa kinachofungwa kwenye chombo chako cha moto kwa ajili ya kukuwezesha wewe mmiliki kuweza kufuatilia na kujua chombo chako mahali popote kilipo. Kifaa hiki kitakuwezesha kujua chombo chako kipo ON au OFF na kinakwenda kwa speed gani. Kifaa hiki kinaunganishwa na mfumo wa umeme wa pikipiki au gari au bajaji yako na endapo kutakuwa na disconnection ya mfumo wa umeme kifaa hicho kitakupa taarifa ya disconnection na mahali kilipo kabla hakijaishiwa moto na kuzima kabisa.

Kwanini ufunge GPS tracker kwenye pikipiki yako au bajaji?
1. Hivi ni vyombo vya moto ambavyo rate ya wizi ni kubwa sana. Na kwa bahati mbaya mashirika ya bima yamekuwa yakikataa kutoa bima ya comprehensive na hivyo kumuweka mmiliki kupoteza tumaini la kupata chombo chake au angalau hata kulipwa na bima endapo chombo chake kitapotea. Lkn endapo umefunga kifaa hiki, ww mwenyewe utaweza kuwaonesha Polisi wapi bajaji yako au pikipiki ipo na hivyo mnaenda kuichukua kama vile mliiweka ;
2. Madereva wamekuwa na tabia ya kusingizia kuwa biashara ilikuwa mbaya na hivyo kuleta hesabu pungufu. Lakini kupitia vifaa hivi utaweza kubaini endapo dereva anasema kweli au anaongopa kwani mizunguko yake ya siku nzima utakuwa na uwezo wa kuiona kupitia smartphone yako tu au tarakilishi yako.
3. Kukupa amani ya moyo kwa kuwa kila mara utaweza kujua chombo chako kipo mahali gani na kinatembea kwa speed gani au kimepaki wapi.

Kifaa kinafanyaje kazi?
Ni rahisi, kama unajua kupiga simu, kutuma sms na kutumia google map utaweza kutumia kifaa hiki bila shida yoyote.

Mimi binafsi si kampuni wala sio dalali bali ni mtu binafsi. Vifaa hivi mimi huwa nanunua kwa ajili ya kufunga kwenye bajaji na pikipiki zangu, na hivyo nimebakiwa na pcs kama sita hivi. Mtu yeyote alie tayari kufungiwa anitafute pm nitamtumia namba yangu ya simu, kipaumbele ni kwa walio Dodoma kwa kuwa mimi Mwenyewe nipo dodoma. Bei ya device moja kwa aliyepo Dodoma ni 130,000, devices ni waterproof. Ni one time payment, Haina malipo ya kila mwezi, ni ww tu kujaza vocha kifurushi cha buku na unaenjoy mwezi mzima.
Hii huduma bado ipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom