jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
jumla unauza sh ngapi?
Kwa heshima yakobi mkubwa mchukulie hiki hubby ndo kizuri bwana![]()
poapoa sema sijui kuchagua ila nataka hivyo sita ili washerekee watakaovipataVitenge 6 ni 25,000/=
Kama sina whatsup nme-disqualify kuwa mteja sio mama(JOKE)Nicheki whatsApp Mkuu 0629226770
[emoji7][emoji7][emoji7]Kwa heshima yako
Ya kumchagulia mkwe wako
Umpendae namchukulia hicho
Lazz[emoji7]
Nipe kazi yakukuchagulia[emoji35][emoji45][emoji45]poapoa sema sijui kuchagua ila nataka hivyo sita ili washerekee watakaovipata
au sioNipe kazi yakukuchagulia[emoji35][emoji45][emoji45]
Poa poa ngoja hela iingie na umei time kweli.Tunauza online Mkuu
Unachagua ukipenda unaletewa.