Pata Vitenge vya Culture kwa bei nzuri

Pata Vitenge vya Culture kwa bei nzuri

a28ab2380b1b8b68c4026e809f46ba42.jpg


I wish nimbaiye bi mkumbwa aisee
Na likizo ndyo hii hapa
Inakuja full kurlax kijiji na,wazee
Karibu Mkuu
 
Vixuri sana nitamwambia wife achague hapo vitano umpe Kwa bei ya jumla

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Itabidi nikutafute ili unipatie piece kadhaa niende nazo wakati ntaenda kusalimia ukweni...vip bei ya jumla ikoje?
 
nice, nitakitafuta, na na link ya whatsapp grp ili nijiunge so ukipata latest utustue kwa huko inakiwa ni rahisi, toa link basi

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Ninunulie love[emoji7][emoji7][emoji7]
Ww tena[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Embu chagua na kingine
Special kwa bi mkubwa
Mzaa chema nlipe kwa
Pamoja love
 
Dah...
Very nice
Ndipo hapa tunaanzaga na kukopa kwenye vikundi lol

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
7616eb56e934762bf8a64f96c46ce093.jpg
cha mzaa chema hicho
Waoooo very nice
Na mwenzake mzaa chema
My mother amechaguliwa hik[emoji116]

Embu nifanye kuvilipia
Fasta

Nasubr unidirect,location tu
Vle ntakufkishia love[emoji7] [emoji8]
a28ab2380b1b8b68c4026e809f46ba42.jpg


I wish nimbaiye bi mkumbwa aisee
Na likizo ndyo hii hapa
Inakuja full kurlax kijiji na,wazee
 
80f6d5747e497a96c30225ff2f689a79.jpg
bi mkubwa mchukulie hiki hubby ndo kizuri bwana
 
Vinavutia, ngoja nipate ujasiri wa kununua kitenge Dar, maana nimzoea kununua kigoma
 
Back
Top Bottom