Jumla inaanzia piece ngapi?Hahahaaaa, karibu sana Mkuu.
6 Mkuu
Hapana sina, nimeshawatumia watu wengi sana dear ungeona malalamiko kwenye nyuzi zangu za matangazo, niamini.Huna wakala A town. Maana Dar unaletewa sasa kwasisi mkoani unatuma pesa kuna kaugum. Tulitaka kujiunga watu watatu tununue piece 6 ila kuna kaoga .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekucheki what'sappHapana sina, nimeshawatumia watu wengi sana dear ungeona malalamiko kwenye nyuzi zangu za matangazo, niamini.
Nipe vinne kwa 25000@Sita