Pata viatu vya mtumba grade one.

Watu muwe makini hapa kupigwa nje nje. Maanake haiwezekani mtu atangaze biashara ya viatu kwa kutumia picha ambazo sio zake, maanake hizo products hana Sasa ukimtumia hela kinachofatia nn? Anaetaka kuhakikisha account yetu ya instagram bigdeal_mtumba_shoes angalia viatu vilivyopigwa picha hasa hasa kwny hyo computer na vilivyowekwa mdau humu.
 
Umeongea point mkuu
 
huyu ni tapeli manake haelekezi huko pasiansi yupo maeneo gani wala duka linaitwaje anakua na kiuoga flani. hata bei zake kwa kiatu cha kiume hazina uhalisia. we need to proceed carefully
 
Loooh anataka atapel watu mchana kuweni makini looh jaman matapel wengine khaaa
 
huyu ni tapeli manake haelekezi huko pasiansi yupo maeneo gani wala duka linaitwaje anakua na kiuoga flani. hata bei zake kwa kiatu cha kiume hazina uhalisia. we need to proceed carefully

Muongo huyo maanake viatu vyote alivyopost 90% viko ofisini kwetu Na sisi tupo Dar. Angalia picha nilizopost za account ya Instagram ndio utanielewa. Watu wawe makini watakuja kupigwa
 
Muongo huyo maanake viatu vyote alivyopost 90% viko ofisini kwetu Na sisi tupo Dar. Angalia picha nilizopost za account ya Instagram ndio utanielewa. Watu wawe makini watakuja kupigwa
Unatumia jina gani Insta mkuu
 
Viatu ni vizuri ndio...jee ni kweli nikikutumia pesa utanitumia mzigo wangu?
au what is your terms of business?
 
Muongo huyo maanake viatu vyote alivyopost 90% viko ofisini kwetu Na sisi tupo Dar. Angalia picha nilizopost za account ya Instagram ndio utanielewa. Watu wawe makini watakuja kupigwa
....acha kulala sasa.,andaa tangazo post wewe,ushapata mileage;
..watu wamezielewa kazi!
 
Hahaha.....hali ngumu aiseee!!
Unataka kutuliza mchana kweupe?!
 
Hahhaaa raha sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…