Pata viatu vya mtumba grade one.

Namba ya simu sawa.ila Tuma picha yako na picha ya sehemu unayofanyia biashara.humu walilia watu,usione wakimya wana mengi moyoni.haya yote kutaka vitu vya bei "chee".
 
Namba ya simu sawa.ila Tuma picha yako na picha ya sehemu unayofanyia biashara.humu walilia watu,usione wakimya wana mengi moyoni.haya yote kutaka vitu vya bei "chee".
Kaka hakuna anayelazimishwa kutoa hela yake hapa.
 
Mkuu hiyo picha ya kwanza na pili si ni vya manyoya ? Auna vyenye ngozi ya kawaida!
 
Picha no sita size gani? Cheusi chake unancho?
 

Payment ikoje unalipa baada ya kupokea mzigo?
 
Mkuu hicho cha 6....chini ya hiyo raba...ya brown...ni size gani
 
Nimechukua Namba yako brother. Naamini nitakutafuta tarehe 18, nitakuwa hapo jijini Mwanza.
 
Mkuu Mamylicious mbona thread yako imekaa kitapeli? Mbona picha unazotumia za viatu ni vya kwetu? Na hizo picha hapo ni ofisini kwangu big deal stationary? Yani utoe picha kutoka account ya Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes halafu unasema viatu unavyo mwanza.
Ningependa kukusaidia Jambo moja inawezekana unania nzuri na mipango mizuri kibiashara Ila fahamu dunia sasa hv ni ndogo watu wote tupo kwny mitandao. Sasa kwa mfano mtu akitaka viatu ulivyopost utakuwa navyo? Na ulichonifurahisha zaidi mpaka jina la mtumba grade A umedesa. Hahahahaha jaribu kuwa mbunifu kidogo Na ufanye biashara. Sasa hivi tumeleta mzigo wa socks Sasa sijui utadesa Na hiyo ila mind you Hizi socks sio mtumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…