Je simu yako ni ya android? WeatherEye ni program nzuri sana kwa utabiri wa hali ya hewa. Kama simu yako ina GPS inaweza kutambua eneo ulipo na kukupa utabiri wa hali ya hewa hadi siku 10. Mi nimekuwa nikiitumia program hii kwa mwaka sasa,utabiri wake ni sahihi na itakusaidia sana hasa ukizingatia hawa watu wa TMA mda mwingine hawatoi utabiri wa hali ya hewa kwa wakati. Inapatikana Google Play Store. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ewebtz.weathereye

