Ukitaka biashara yako ichanganye hapo kwenye tangazo lako ongeza "Pia tunatoa ushauri nasaha jinsi ya kuzuia/kuwa mwelewa pindi unapojua/fumania mwenzi wako akichepuka,pia wanaume jinsi ya kukabiliana na stress za kubambikiwa watoto",maana baadhi ya ndoa siku hizi baada ya kuvishana hizo pete yatakayoendelea humo ndani mwao ni mtihani.