Pata Undani wa Jambo Hili

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Mwaka huu wa 2011 mwezi wa Julai utakua na siku za ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5! Jambo hili hutoke mara moja kila baada ya miaka 823.Kwa undani zaidi angalia kalenda yako ya mwaka huu wa 2011 sio mambo ya kiutabiri
 
Hii habari ishawekwa mkuu siku za nyuma.hata hivo thanks kwa reminder.
 
Mi naomba nieleweshwe zinatokea hivyo zikihusisha hizi siku tatu tu yaani ijumaa jmosi na jpili tu au zinaweza kuhusisha hata jmosi na jpili au alhamia ijumaa na jmosi and the like
 
Mwaka huu wa 2011 mwezi wa Julai utakua na siku za ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5! Jambo hili hutoke mara moja kila baada ya miaka 823.Kwa undani zaidi angalia kalenda yako ya mwaka huu wa 2011 sio mambo ya kiutabiri
Whatever the case jua litawaka jana,leo na kesho-no big deal!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom