Pelham 1 JF-Expert Member Feb 29, 2012 548 99 Jan 27, 2016 #1 Habari zenu jukwaani: Tv ya LG inchi 52 na Sound Music System yake inauzwa Tshs million 3 cash. Contact: 0714-074040, 0785-074040 Karibu sana.
Habari zenu jukwaani: Tv ya LG inchi 52 na Sound Music System yake inauzwa Tshs million 3 cash. Contact: 0714-074040, 0785-074040 Karibu sana.
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,386 7,558 Jan 27, 2016 #2 3 milioni cash kwa tangazo la kizushi kama hili hakika mnunuzi apimwe akili,kila siku mnaelekezwa jinsi ya kuweka bandiko la biashara.
3 milioni cash kwa tangazo la kizushi kama hili hakika mnunuzi apimwe akili,kila siku mnaelekezwa jinsi ya kuweka bandiko la biashara.
BABU KIDUDE JF-Expert Member Nov 3, 2010 1,587 914 Jan 27, 2016 #3 McDonaldJr said: 3 milioni cash kwa tangazo la kizushi kama hili hakika mnunuzi apimwe akili,kila siku mnaelekezwa jinsi ya kuweka bandiko la biashara. Click to expand... Labda dalali ajui chochote kaambiwa auze tuu basi
McDonaldJr said: 3 milioni cash kwa tangazo la kizushi kama hili hakika mnunuzi apimwe akili,kila siku mnaelekezwa jinsi ya kuweka bandiko la biashara. Click to expand... Labda dalali ajui chochote kaambiwa auze tuu basi