Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

Mkuu update bei mpya baadhi ya simu zimeshuka bei sana madukani.
 
Cm kiukweli sizijui ila nimeona nataka kuingzwa mjini baada ya kuona y300 kwa 215,hvi zile za mliman zimeisha nini? Brother kajipange upya!
 
Huawei Ascend y300 - 215,000/= ?

Mkuu bei ifananie kidogo na bei ya sokoni kwa sasa khaaaa!

Mkuu bei ya simu hii kwa Ofa ni 195,000/= na zinatumia line moja.
Zetu ni unlocked tayari kwa kutumia nchi yeyote na mtandao wowote.
Bei mpya haijawa updated but soon itaonekana hapo juu
 
Mkuu bei ya simu hii kwa Ofa ni 195,000/= na zinatumia line moja.
Zetu ni unlocked tayari kwa kutumia nchi yeyote na mtandao wowote.
Bei mpya haijawa updated but soon itaonekana hapo juu

Hata kama ni unlocked bado bei yako ipo juu kidogo haswa hizo simu za Huawei.

Mathalani G510 kwa sasa ni laki tatu tu.
 
HUAWEI Ideos X5 - 180,000/=.....mi nina laki na ishirini......
 
Back
Top Bottom