Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

Mkuu angalia bei zako vizuri uzirekebishe simu nyingi zimeshuka sana kama htc one v na galaxy s2
 
Mkuu bei ya simu hii kwa Ofa ni 195,000/= na zinatumia line moja.
Zetu ni unlocked tayari kwa kutumia nchi yeyote na mtandao wowote.
Bei mpya haijawa updated but soon itaonekana hapo juu

Mkuu Godfrey Electronics, yupo jamaa humu ndani anauza hizo ascend y300 mpya kwenye box Sh. 170k ni unlocked anakuletea popote ulipo Dsm. Wewe kipi kinakufanya ulangue watu hadi 215k. shusha bei mkuu, usingangane na hoja iliyokushinda! shusha bei!

cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ni unlocked bado bei yako ipo juu kidogo haswa hizo simu za Huawei.

Mathalani G510 kwa sasa ni laki tatu tu.

ni kweli mkuu lakini nachokiangalia mimi ni gharama za mzigo mpaka hapa pamoja na kodi. Ni kweli kwa g510 sasa ni 280,000/= lakini kunakuwa na ugumu kulazimisha y300 iende kwenye 170 au chini ya hapo kutokana na invoice ambayo nalipa katika kuagiiza mzigo. kama mtaani wanauza mpya 170 sio wote tunaweza kuuza bei hiyo, ingekuwa ndio basi zile za Promotion mfano za Tigo zingeuzwa 150 lakini kuna gharama ambazo zinatupelekea mpaka kuuza kwa hiyo bei. Itakapotubidi tutapunguza wakuu. Naomba mniwie radhi kwa hili.
CC: @Twiluba katabaro
 
Last edited by a moderator:
PRICE UPDATE
CONTACT: 0689777757, 0756444407
Kwa waliopo Dar unaweza kuletewa mpaka ulipo ukakagua na kulipa DCash, Na kwa walioko mikoani unalipia kwa M.Pesa na kisha mzigo unatumwa kwa EMS kwa gharamna ya Tsh 13,100/= tu. Au kama una Ndugu au Rafiki aliyeko Dar unaweza kumtumia pesa kisha sisi tukampeklekea mpaka alipo na kisha yeye akakutumia.
PIA UNAWEZA KUNUNUA BIDHAA ZETU KUPITIA mnada.co.tz
Asanteni

HTC Desire C - 165,000/=
HTC Chacha - 215,000/=
HTC Trophy 7 - 220,000/
HTC Desire G7 - 225,000/=
HTC Desire S - 245,000/=
HTC Rhyme - 250,000/=
HTC HD 7 Windows - 255,000/=
HTC Desire HD - 290,000/=
HTC One V - 355,000/=
HTC Sensation XE - 345,000/=
HTC Windows Phone 8s - 345,000/=
HTC Raider 4G - 375,000/=
HTC First - 395,000/=
HTC One S - 390,000/=
HTC Sensation XL - 425,000/=
HTC Windows Phone 8x - 475,000/=
HTC One X - 470,000/=
HTC Butterfly -
HTC One - 850,000/=
HTC One Max - 950,000/=

Sony Xperia X10 - 265000/=
Sony Xperia Neo V - 285,000/=
Sony Xperia Arc - 325,000/=
Sony Xperia J - 330,000/=
Sony Xperia S – 450,000/=
Sony Xperia C – 480,000/=
Sony Xperia SP – 465,000/=
Sony Xperia T - 485,000/=
Sony Xperia Ion - 485,000/=
Sony Xperia Z - 730,000/=

Samsung Galaxy S1 - 255,000/=
Samsung Galaxy S Duos - 295,000/=
Samsung Nexus 1 - 300,000/=
Samsung Galaxy S2 - 390,000/=
Samsung Galaxy S Advance - 385,000/=
Samsung Galaxy S3 mini - 400,000=
Samsung Nexus X - 425,000/=
Samsung Note 1 - 465,000/=
Samsung Galaxy Grand - 485,000/=
Samsung S4 mini – 525,000/=
Samsung galaxy S3 - 545,000/=
Samsung Galaxy S4 Zoom - 565,000/=
Samsung Galaxy Mega (6.3') - 750,000/=
Samsung Note 2 - 690,000/=
Samsung S4 Active - 780,000/=
Samsung Galaxy S4 – 695,000/=
Samsung Note 3 for 950,000/=

Samsung Galaxy Tab 1 (7') - 425,000/=
Samsung Galaxy Tab 2 (7') - 525,000/=
Samsung Galaxy Tab 3 (7') - 625,000/=

Nokia Lumia 920 - 595,000/=

HUAWEI Ideos X5 - 180,000/=
Huawei Ascend y300 - 205,000/=
Huawei Ascend G300 - 280,000/=
Huawei Ascend G510 - 280,000/=
Huawei Ascend W1 - 290,000/=
Huawei Ascend P1 - 415,000/=
Huawei Ascend P6 - 595,000/=
Huawei Ascend Mate - 545,000/=

Motorola DROID XT912 - 375,000/=

LG Optimus P700 - 345,000/=
LG Optimus P769 - 355,000/=
LG Optimus 3D P920 - 365,000/=
LG Optimus VU – 365,000/=
LG Nexus 4 - 485,000/=
LG Optimus G Pro - 545,000/=

Spy pen for 65000/=
Spy sunglass for 185,000/=
Spy Watch for 215,000/=

CONTACT: 0689777757, 0756444407
 
So far nimenunua simu mbili toka kwa mshkaji na zote ziko pouwa including hii ninayoitumia sasa, xperia z1.
 
Acha ujinga mwana..hapo ndo unauza bei rahis.....kwa bei ya mkononi hapo unatafta super normal profit..eg huawei asc y 300 mkonon had 145,000!!!!!
 
Back
Top Bottom