Mbuzi wa maziwa wanauzwa

Mbuzi wa maziwa wanauzwa

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
536
View attachment 293712View attachment 293713View attachment 293714View attachment 293715View attachment 293716View attachment 293717

Mbuzi wa maziwa aina ya Norwegian na machotara wanauzwa.

Picha #1 Kushoto kwenda kulia: Huyu ni chotara wa Saanen na kienyeji ana mtoto mdogo wa mwezi mmoja. Baba wa mtoto wake ni mbuzi picha #2 .
Picha #2 ni beberu 99.5% Norwegian toka SUA. Akifikisha November 24 atakuwa ametimiza miaka miwili
Picha #3 ni yuleyule wa #1 juu na mtoto wake
Picha #4 ni dume chotara...mama yake alikuwa 95% Saanen na baba yake alikuwa ana mchanganyiko wa Saanen na kienyeji
Picha #5 ni dume mdogo mama yake alikuwa Saanen 95% na baba yake ni Norwegian 99.5% ana features nyingi za baba yake
Picha #6 ni jike 99.5% Norwegian pia toka SUA. Amepandishwa kwa beberu #2 mwezi mmoja na nusu uliopita na amezaa mara 1 tu. Nilimchukua akiwa na mimba.

Sifa za mbuzi hawa:
1. Norwegian -Majike yanazaa mapacha na wanatoa maziwa asubuhi lita 1 na jioni lita 1 na kuwaachia watoto maziwa ya kuwatosha
2. Saanen -anaweza kutoa hadi galon 3 kwa siku. Huyu chotara niliyenaye bado hajafikisha lita moja kwa siku.

Sababu ya kuuza: Kubadili mradi
Mawasiliano: Niko Kongowe Mbagala Dar 0762 41 31 32 (Kwa kupiga tu) tafadhali usitume sms haitajibiwa

Ni kwa wanunuzi makini tu. Ushauri wa namna ya kufuga wawezatolewa ukihitajika.
 
Umeweka Taarifa nyingi sana. Ila kama hujaweka bei basi hizi taarifa zinakua useless na unnecessary!!
 
Unauza Mbuzi tu kwa masharti namna hii ukiuza Magari itauwaje!?
Jitahidi kuwa na lugha nzuri utafanikiwa.
 
boer unao, unauzaje?
kama hauna ninaweza kuwapata wapi?
 
Write your reply...nipo njombe nitapata wapi mbuzi wa maziwa? msaada kwa anayeweza nisaidie.. pm itajibiwa kwa haraka zaidi
 
Write your reply...nipo njombe nitapata wapi mbuzi wa maziwa? msaada kwa anayeweza nisaidie.. pm itajibiwa kwa haraka zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom