Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Hii ni shidaaah!!!!!hako kam moja na nusu nafanyia mambo kibao!!!!mtaji huo unahamishia kwenye simu tu..galaxy s yangu yanitosha mie......hizo ukiagizia china hazizidi dola 260
 
Mkuu....hiyo saa umevaa kama wale jamaa wanaopigiwa debe na Obama na Cameron......vipi ulitaka ionekane kwenye picha au? .
Huo uvaaji wa saa namna hiyo unaleta mashaka kwenye urijali...

Umenifurahisha sana mpendwa...una nashka na ukamikifu wake siyo.....ila usijali alitaka tuone tu na saa yake aliyovaa
 
Ngoja nisubiri tu kuke agrey kwa mwanangu dula ntapata za deal kwa kilo tano

Mkuu hizi smartphone nakushauri usinunue za deal bila kujua zinatoka wapi...unaweza kukuta imasajiliwa au ina mobile track ,watu wakakuibukia ukapewe kesi isiyokuhusu,,,(simu iliibiwa na begi lenye laptop na dola 5000)
 
Mkuu....hiyo saa umevaa kama wale jamaa wanaopigiwa debe na Obama na Cameron......vipi ulitaka ionekane kwenye picha au? .
Huo uvaaji wa saa namna hiyo unaleta mashaka kwenye urijali...

Dah aisee watu mna maneno khaaa
 
Mmh! wabongo bwana na kulahisisha maisha?!! BEI NAFUU TENA KARIBU NA BURE! Ukicheki mfukoni mwa mleta tangazo, ana buku tu ya daladala. Ok, subiri mvua zikate mie naja!
 
Aisee, napata warantee na accidental damage repairs ADH kwa miaka 2 nikinunua?

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Kimenuka.

Kweli kimenuka hapa JF kuna mambo sasa itabidi mzigo auze chini ya 1m ili kwenda na hali halisi ,kwanza tofauti na Mlimani City ambaok kuna kodi kubwa za jengo inaongeza bei za bidhaa .Kama huko mlimani City bei ndio hiyo inabidi kurudisha majeshi
 
Hahahhahaahha....!! Aiseeee wananchi mbona mnaandamana sana..!! Kuna mtu kanifata inbox anasema kua hyo cm ina chakula, malazi na mke...???
 
mbona napa arusha kwa benson zinauzwa 1.3m, hiyo bei chee ya 1.5 ni hataree aisee, labda bei ni puls na hiyo saa uliyovaa
 
kumbe mitaji ya biashara mnayo eenh!

haya nunueni simu ghali tuendelee kuishi..
 
Habari zenu! Zile sim tulizokua tukisubiria kwa ham zishaingia kutoka hukooo zilipotengenezwa! Sio nyingine n SAMSUNG GALAXY S5, n bei chee sana kulingana na wanavyouza madukani! Madukan wanauza 1,700,000million (1.7m) ila sisi tunauza 1,500,000million (1.5m). Kwa wale watakaohitaji check me 0653 457659. Mnakaribishwa!

Mie ni mlevi wa saa... Hebu niambie nikuvue hiyo saa kwa sh. ngapi ila iwe original sio ya kuchovya!!
 
Hata mikoani wanajua ni 1,300,000 sasa wewe hiyo bei chee unaipata wapi? Au umezifuata Korea Kusini mwenyewe unaweka gharama ya shopping zako binafsi, jipange:thumbdown::thumbdown:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom