Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Hata wauze 1m kuna mtz anawez kununua, maana wanasubiri mpka zishuke

Hapa ulikuwa una maanisha hakuna mtz anaweza nunua mpaka zishuke ama?
Kumbuka maisha yanavyo panda hata thamani ya hela nayo inapanda hela za kununua,ila wanaosubiri zishuke ni kwakuwa hakuna jipya kwenye hiyo simu zaidi ya jina na ukubwa na uzito,kama jipya tofauti na ya nyuma yake weka hapa hadharani,
Kimunekano mjini waweza miliki ila kitechnollijia hakuna kilicho badilika.
 
kwa bei hiyo, ina maana hiyo simu ina kituo cha polisi humo humo? Ili isiibiwe
 
Ila all in all, s5 haijaongezeka chochote kile zaid ya ukubwa kidogo! M natumia note 3, s5 na note 3 mara 10 mtu achukue note 3 na sio s5 coz note 3 iko juu sana kulko s5
 
Kujipa presha ya nini ya 1.5 m
Tunasubir mzigo kkoo uingie tuchukue kwa 1m
 
Hata wauze 1m kuna mtz anawez kununua, maana wanasubiri mpka zishuke

Ndugu, kwani Watz tunafanana kwa vipato? Mbona watu kibao washaweka oda kwa mawakala hata kabla hazijafika?
Mmmoja ana cruiser ya milioni 250, mwingine ana starlet ya milioni 4, ndio vipato vyetu vilivyo, hadi kwenye simu. Mmoja anahangaika na Tecno ya 40,000 mwingine ana Samsung S5 ya 1.3m.
 
Ila all in all, s5 haijaongezeka chochote kile zaid ya ukubwa kidogo! M natumia note 3, s5 na note 3 mara 10 mtu achukue note 3 na sio s5 coz note 3 iko juu sana kulko s5

point ya msingi sana ila tatizo note 3 likubwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom