Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Pata Samsung Galaxy s5 kwa bei chee.

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
336
Reaction score
145
Habari zenu! Zile sim tulizokua tukisubiria kwa ham zishaingia kutoka hukooo zilipotengenezwa! Sio nyingine n SAMSUNG GALAXY S5, n bei chee sana kulingana na wanavyouza madukani! Madukan wanauza 1,700,000million (1.7m) ila sisi tunauza 1,500,000million (1.5m). Kwa wale watakaohitaji check me 0653 457659. Mnakaribishwa!
 
Attachments

  • 1397292291108.jpg
    1397292291108.jpg
    39.6 KB · Views: 1,006
  • 1397292330690.jpg
    1397292330690.jpg
    51.2 KB · Views: 942
Dah! hiyo bei labda uwauzie wakuja!!! Kuna duka posta, linaitwa wireless concept, hiyo cm inauzwa tsh 1,150,000. Ndugu yangu katoka kununua jana.
 
Nimepita mlimani City ni 1,350,000/=
Mwenzetu anauza 1,500,00/=
Maduka mengine 1,700,000/=
(Kwa mujibu wa mwenzetu)
NB: mlimani city ni duka la SAMSUNG wenyewe
 
Mlimani city ni 1,080,000 kwa S5 na 1 040 000 kwa S4.
Duka la samsung karibu na KCB
 
Nimepita mlimani City ni 1,350,000/=
Mwenzetu anauza 1,500,00/=
Maduka mengine 1,700,000/=
(Kwa mujibu wa mwenzetu)
NB: mlimani city ni duka la SAMSUNG wenyewe

Ila nahisi n kama lain moja tu ya airtel heb fatilia vizuri!
 
Ngoja nisubiri tu kuke agrey kwa mwanangu dula ntapata za deal kwa kilo tano
 
Habari zenu! Zile sim tulizokua tukisubiria kwa ham zishaingia kutoka hukooo zilipotengenezwa! Sio nyingine n SAMSUNG GALAXY S5, n bei chee sana kulingana na wanavyouza madukani! Madukan wanauza 1,700,000million (1.7m) ila sisi tunauza 1,500,000million (1.5m). Kwa wale watakaohitaji check me 0653 457659. Mnakaribishwa!
Khaaaah! Mtaji wa bodaboda... nasubiri zishuke bei. S4 yangu bado nzur inanitosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom