Nina mashaka unaweza kuwa ni wewe ndiye uliyenipiga. Alikuwa ni mwanamke na alileta tangazo hivi hivi kama weweUngekua umeagiza hata kilo moja ukaibiwa ndio ungekuja hapa na hizo story.
Nikikuaombia thibisha unaweza au unangea tu kisa una MB kwenye simu yako.
Sio kila mtu anayetangaza biashara mtandaoni ni mwizi,unaoneka upo kimkakati zaidi,tafuta wateja tangaza bishara zako,unapoteza muda mwingi kupotosha watu kwenye thread za watu.
Uko sawa. Uaminifu kwa mbongo ama mkenya mara nyingi huwa ni mdogo mnoAsante Mkuu, ni siku nyingi sana hata namba nilishazifuta. Binadamu sio waaminifu kabisa mtu anakuja mitandaoni anajitangaza ukishamtumia pesa anakuletea mzigo feki. Wabongo tuna safari ndefu ya mafanikio
unamatatizo.Nina mashaka unaweza kuwa ni wewe ndiye uliyenipiga. Alikuwa ni mwanamke na alileta tangazo hivi hivi kama wewe
Sasa nisingizie uongo ili iweje, mimi nawaambia ukweli niliibiwa kupitia tangazo kama hili hili ili wachukue tahadhari
Kuna njia tatu.Unawatuma Dar kwa njia gani?
Gharama za ndege kwa mzigo wa Kg 10 mfano samaki wabichi unakuaje?Kuna njia tatu.
1.Mabasi
2.Ndege
3. Trucks
Inategemea na mteja anatakaje
Ndege 10kg ni 30,000Gharama za ndege kwa mzigo wa Kg 10 mfano samaki wabichi unakuaje?
Nataka nijichange nibebe
Lini daktar alimwandikia mtu ale sato hahaaaa hao ni bio control sppMaisha ni very strange, mimi nipo kanda ya ziwa,lakini nahangaika kupata samaki na sea food. Hakuna kitu natamani kuweka mdomoni mwangu kama Jodari, Kibua, changu, preza, ngisi nk. Hawa Sato na Sangara ni wazuri nakula, lakini samaki wa bahari ni kitu kingine
Kwa dar es salaam uduvi ndoo kubwa ni 20000.kwa mkazi wa dar inakuwa hakuna faida labda Kwa wakazi wa mwanza hapo sawaNdoo kubwa 15,000 bila usafiri,
- Ukitumia Truck 10.000 siku tatu
- Ukitumia basi 20,000 siku moja.
- Ukitumia usafiri wa ndege 40,000 masaa 3 mzigo utakuwa Dar.
nimewala sana hata sasa ndio nawalaKama ninmpenzi sana wa samaki ntabisha .hujalq changu wew...hujala tasi etc
Wewe si umesema uko kands ya ziwa mwanzaGharama za ndege kwa mzigo wa Kg 10 mfano samaki wabichi unakuaje?
Nataka nijichange nibebe
Kwa kweli takataka hizi zimenishinda kula maishani mwangu
Unaweza kuita chakula takataka,acha majivuno.Kwa kweli takataka hizi zimenishinda kula maishani mwangu
kwani kuna sehemu nimesema niko Mtwara madam?Wewe si umesema uko kands ya ziwa mwanza
Sawa🤗kwani kuna sehemu nimesema niko Mtwara madam?
Whatsa wrong with you?Sawa🤗