Pata mkopo hadi milioni arobaini kwa kuweka dhamana ya kadi ya gari yako

Hiyo riba 7.5 to 8 % ni per month acha kuibia watu humu. Hiyo mikopo yenu ni ya usanii mwingi hasa kwenye riba. Kwa anayetaka akope at own risk msije kurudi humu na kuanza kulia
So mkuu nikikopa 10mil kwa mwaka tiba yake itakuwa 96%.....

so riba nitakayolipa kwa mwaka itakuwa 9.6mil. .....dahh...

kwahiyo nikikopa milioni 10 natakiwa kukupa mil 19.6 kwa mwaka.

hatareeeeeeee
 
Sasa mfanyakaz aje na mavitu yote hayo na kadi ya gari tena?? Sasa mfanyakaz kama hana gar?
 
Inawezekana hawa ni akina exaud pale sinza mori maana wanachukua kadi yako na kukupa mkopo,then wana mganga wao kutoka congo DRC akakulogaaa ushindwe kulipa uli wauze gar yako,,yaan ukikopa kwao lazma ushindwe kulipa,hakuna aliefanikiwa kukopa akalipa asilan halaf wanajisifu mtaan,,na kanisani wanaitwa wazee wa kanisa,,bahat yenu
 
Sasa mfanyakaz aje na mavitu yote hayo na kadi ya gari tena?? Sasa mfanyakaz kama hana gar?
/>Dhamana ni gari, lakini mkopo utarejesha kwa njia gani, ndo unatakiwa uwe ni mfanyabiashara au mfanyakazi ili tuangalie mzunguko wa kipato chako kuwa hautashindwa kurejesha mkopo wako.
 
apoo kuna dalili za kufilisika mtu.

mil 40 interest 3,200,000 +40,000,000=43,200,000

43,000,000÷6month= 7,200,000(marejesho kila mwezi)

ombi; muwape elimu kabla hamjawapa hiyoo mikopo
 
Nina ka uzoefu kwenye hii mikopo kutoka financial institution ndogo ndogo, wengi ni wasanii sana kwenye riba. Watz wengi hawajui riba zinaendaje, unaweza kwenda benki wakakuambia riba ni 21 % per year ukaona hiyo ni kubwa sana halafu wanakuja watu kama hawa sijui platinum au Blue finance and the like wanakwambia riba ni 8% unaanza kuchekelea kumbe hujui kuwa hao ndio hatari zaidi. Wafanyakazi wengi hulizwa sana na hii mikopo. Mtu anakopa 2 milion anakuja kulipa hadi 6 milion for 24 months anabaki kuugulia kininja tu hata hajui atajitoa vipi.
 
Dadavua kidogo mkuu hyo 8% riba inakuwaje na marejesho yanakuwa makubwa kuliko ya 21% ya bank
 
hiyo 8% ni kwa mwezi huyu kancher hasemi ukweli anaficha ficha tu.... hakunaga riba ya miezi 6 kwa pamoja..

ukimuuliza swali la riba kwa mwezi anakimbia halijibu sababu anajua atashtukiwa..

au muulize mtu akikopa m 10 kwa hiiyo miez 6 atalipa bei gani total.. uone kama atajibu
 
7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
 
Nina ka uzoefu kwenye hii mikopo kutoka financial institution ndogo ndogo, wengi ni wasanii sana kwenye riba. Watz wengi hawajui riba zinaendaje, unaweza kwenda benki wakakuambia riba ni 21 % per year ukaona hiyo ni kubwa sana halafu wanakuja watu kama hawa sijui platinum au Blue finance and the like wanakwambia riba ni 8% unaanza kuchekelea kumbe hujui kuwa hao ndio hatari zaidi. Wafanyakazi wengi hulizwa sana na hii mikopo. Mtu anakopa 2 milion anakuja kulipa hadi 6 milion for 24 months anabaki kuugulia kininja tu hata hajui atajitoa vipi.
/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
 
halafu hizo riba una zikokotoaje? tunaombe uje na mfano wa mkopo ulio tolewa na jumla ya mkopo mtu atakao lipa baada ya kipindi fulani. Kuna kitu kinaitwa "effective interest" yaani jumla ya malipo yote atakayo yalipa mkopaji kuhusiana na mkopo. kutaja riba ndogo ni jambo moja, namna ya ukokotoaji wa hiyo riba ni kitu kingine. hebu tupe mfano halisi hapa tuone
7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
 
*I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.~*

/>MASHARTI KWA MFANYAKAZI
>*hati ya mihahara miezi mitatu
>*kopi ya kitambulisho
.*mkataba wa ajira (nakala)
>*picha moja ndogo
>*taharifa ya kibenk miezi sita
>*kadi ya gari na bima yake (bima kubwa)

>KWA MFANYABIASHARA />*Leseni na hati ya biashara
>*TIN NO
>*Kopi ya kitambulisho/>*taharifa ya kibenk miezi 6
>*picha moja ndogo
>*kadi ya gari na bima yake kubwa<
>*kitabu cha hundi.

>Note;ukikamisha mahitaji hayo utafika ofisini kwetu karibia na moroco kwaajili ya kupata mkopo wako mawasiliano 0714 667579 na 0769166524.
 
Hawa watu wa was hizi financials credits ni kama matapeli flani kwanza hawakueleweshi vizuri huo mkopo na riba zake zikoje unaposikia riba 8% wewe unaona ni ndogo lakini hii ni kubwa sana mwisho was siku unajikuta umekopa 1ml umelipa 1.8ml watoe elimu kwanza kabla ya kutoa mkopo
 
Back
Top Bottom