Pata miziki mipya kabisa kwenye simu yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata miziki mipya kabisa kwenye simu yako

Discussion in 'Entertainment' started by Lofefm, Jul 4, 2011.

 1. L

  Lofefm Senior Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kitu rahisi sana tembelea bongowap.hexat.com uandike jina la wimbo wowote uutakao moja kwa moja utaingia kwenye simu yako buree kabisa na mavitu mengine mengi
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asee!!! bure kabisa?!!!
  Kwa nini bure wakati Miziki ni kazi za watu na inauzwa??!!

  Mi sii mwizi! Na ninakemea wizi!
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Thanx, nitatembelea mzee!
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimetembelea hiyo site imekaa kisanii sanii tu, hakuna nyimbo zozote:

  BONGOWAP
  Best mp3 audio music downloads
  more than 1200000+ audios are
  available
  Bookmark us now
  Just write name of artist or song you
  need to download
  Kenyan comedians
  Best social networking sites
  Free phone browsers
  Make money online
  Kutengeneza wapsite kama hii click
  link hiyo hapo chini sasa
  Build your own site
  Main Menu:
  Pata vichekesho uongeze maisha
  Tengeneza wapsite yako
  Tangaza biashara yako hapa
  Maoni yako ni muhimu sana kwetu
  ( 4 )
  Tupe ushauri wako sasa
  Online:1
  Today visitors: 118
  Find True Love in God
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu!!
  Mimi bure sitaki kabisa asee!!!
   
 6. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Huo ni wizi na kdari ya sheria ya Hakimiliki ya Tanzania no 7 ya 1999, adhabu yake inaweza kuwa faini na kifungo au vyote hivyo weka nyimbo ulizopewa mamlaka ya kuzigawa na sivinginevyo
   
Loading...