Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,437
Habari rafiki?
Je umekuwa na kiu ya kuongeza kipato chako zaidi ya unachopata sasa? Au kwa sasa huna kipato cha uhakika?
Karibu kwenye semina ya MILIONI YA ZIADA,
Hii ni semina ambayo utajifunza jinsi unavyoweza kuongeza kipato chako mpaka kufikia milioni na zaidi kila mwezi, kwa kuanzia hapo ulipo sasa.
Semina itafanyika BLUE PEARL HOTEL, UBUNGO PLAZA,
Ni jumapili hii, tarehe 30/10/2016.
Karibu sana rafiki, hii ni nafasi nzuri sana kwako kujifunza na kuweza kutengeneza uhuru wako wa kipato.
Pata tiketi yako sasa, tiketi ni tsh 35,000/= na utapata nafasi ya kuvuna maarifa haya muhimu, ambayo ukiyafanyia kazi, nina uhakika hutabaki hapo ulipo sasa.
Kupata tiketi yako, piga simu au tuma ujumbe kwenye namba 0717396253.
Karibu sana rafiki,
Nakusubiri kwa shauku kubwa kwenye semina hii ya kipekee.
Rafiki yako,
Makirita Amani.
www.amkamtanzania.com