Pata mbinu mbadala

Pata mbinu mbadala

Yooote hiyo kutafuta usawa na wanaume!!? Inasikititisha sana kutojikubali
 
Nimemkumbuka Marehemu Ngwea (Mungu amlaze mahala pema peponi).

Kibao chake alichoshirikiana na Lady Jay Dee - Sikiliza
 
Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo...
 
Hizo ni kwa wale waokojoa kuvaa na kuondoka bila kujisafisha... Ila kwa mwanamke msafi lazima achuchumae kujisafisha baada ya haja ndogo...
Baada ya shughuli nikuchuchumaa na kujisafwisha kwan tatizo liko wap
 
Back
Top Bottom