Ninatoa huduma ya mapambo ya kumbi,mikutano na makanisa pamoja na catering services kwenye sherehe na shughuli nyingine pamoja na cake aina mbali mbali kwa bei nafuu kabisa. Napatikana kupitia simu namba 0717441943. Karibuni sana nipo DSM ukonga banana.Jionee mwenyewe aina za mapambo attached.