Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,747
Hujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaaHuu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.
Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?
Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.
Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..
Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.
Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.
Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.
Hii ni personal finance.. 101..
Good morning people...
acha makasirikoHujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaa
Mkuu, leo umenitanzulia kitendawili cha miaka nenda rudi kuhusu suala la matatizo kuibuka kila nipatapo pesa.Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.
Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?
Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.
Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..
Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.
Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.
Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.
Hii ni personal finance.. 101..
Good morning people...
Naomba utuletee Uzi wa ununuzi wa bonds za serikalicash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds,
Makasiriko sio kiswahili, acha wewe shoboacha makasiriko
Anhaa kumbe wale wanaotuambia kuwa wako watanzania wenye asili ya kiasia huwa wanazihifadhi nyingi tu ndani ni uongo kumbe?!!!!Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.
Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?
Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.
Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..
Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.
Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.
Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.
Hii ni personal finance.. 101..
Good morning people...
🤣🤣🤣Hujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaa
Unakasirika ukiwa wapi mkuu.. ?Hujielewi wewe, wengine wanasema matatizo yanakuja wakati hawana pesa, wewe unasema yanakuja ukiwa na pesa, means wote ni waongo, maisha hayana formula, sitachoka kusema hili, sitachokaaaaa
Ndo manake hiyo mkuu.. haina haja ya kuuliza.. matajiri wengi pesa kwao sio stock concept bali ni flow concept..Anhaa kumbe wale wanaotuambia kuwa wako watanzania wenye asili ya kiasia huwa wanazihifadhi nyingi tu ndani ni uongo kumbe?!!!!
Anhaaa kumbe matajiri pamoja na kuwa nazo nyingi huwa hawazihifadhi za "kiasi" ndani?!!
Anhaaa kumbe matajiri wanaogopa "kushika" fedha nyingi CASH kwa kuwa matatizo yatajitokeza ,watu kuomba misaada na kisha kuzitoa eeee?!!!
Sijasema eti usiwe na Cash kabisa mkuu.. kuwa na Cash tu ambayo ina ku sustain operating expenses zako.. na hiyo excess iweke kwenye assets kama investment.. hivo ndo nilichomaanishaLabda inategemea na na aina za binadamu mimi nikiwa na pesa hata mafua ya naogopa kumuanza mtu wangu wa karibu iwe ndugu jamaa
Ila nikiwa sina hela ujue kila aina ya tatizo litakuja mara hiki mara kile yaan shida
Ndio maana najitaid sana lazima niwe na akiba hata m1 tu yaan hiyo hata iweje sitoagi ndio naishi kwa mfumo huu