Pata LG F6- Cheap 200,000/=

Pata LG F6- Cheap 200,000/=

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
697
Reaction score
1,113
Yes Mzigo upo vizuri! utapata Charger,Smart Cover nk
Call/Tex t0714486466
Package:
charger,Earphone,Smart Cover na 5GB (Tigo) Kifurushi
 
mbona ghali?
online $52 sawa na 85,000

online ya k/koo nini?
mzigo unatembea kwa $117.95 online ambayo ni sawa na 188,720tsh kuwa makini siku ya 2 unaharibu biashara za watu.
na hapo bado transport fee mpaka simu ikufikie si chini ya 250k
 
online ya k/koo nini?
mzigo unatembea kwa $117.95 online ambayo ni sawa na 188,720tsh kuwa makini siku ya 2 unaharibu biashara za watu.
na hapo bado transport fee mpaka simu ikufikie si chini ya 250k

Na wewe kuambiwa ukweli inakuja juu eti " usiharibu biashara za watu!". Ndiyo nini sasa mtu asiseme anachoamini ni sahihi?

Weka Picha basi angalau tuone unachouza!!!
 
online ya k/koo nini?
mzigo unatembea kwa $117.95 online ambayo ni sawa na 188,720tsh kuwa makini siku ya 2 unaharibu biashara za watu.
na hapo bado transport fee mpaka simu ikufikie si chini ya 250k

1. Sio online ya kko
2. a//Siku ya 1 ilikuwa biashara ipi?,b//Thibitisha comment yangu iliwazuia wanunuzi?
3. Pamoja na usafiri haifiki 188,720
 
online ya k/koo nini?mzigo unatembea kwa $117.95 online ambayo ni sawa na 188,720tsh kuwa makini siku ya 2 unaharibu biashara za watu.na hapo bado transport fee mpaka simu ikufikie si chini ya 250k
Asante mkuu kwa kumuelimisha,kumbe ndio mchezo wake?!! Smh
 
mbona ghali?
online $52 sawa na 85,000

52$ ni unlocked na ni GSM?? free shipping hadi TANZANIA? vitu kama simu TRA siku hizi hawachukui kodi 25% import duty + 18 % VAT?

Kama yote hayo ndiyo mkuu nikupe hizo tu 52 $ uniagizie ? nijibu na la mwisho unachukua siku ngapi kufika TANZANIA ? Je, ikitokea risk yoyote sijaipata simu si utanirudishia 52$ kiungwana tu?

najua wewe ni muungwana hutaki kuharibu biashara ya watu, ila unataka nisaidia nisinunue simu kwa zaidi ya 52$, tena najua utanisaidia bure tu. vinginevyo usiponisaidia niipate hii kwa 52$ tu na si zaid utakuwa wewe ni mnafiki tu, utakuwa una wivu na chuki za kike tu.
 
Unapata na earphones zake mkuu.

Package:
charger,Earphone,Smart Cover na 5GB (Tigo) Kifurushi
 
Back
Top Bottom