KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,098
- 1,345
Wapendwa bandugu na bajamaa habari za majukumu...!
Kwa furaha na upendo karibuni sana tusherekee kwa kujipatia kuku bora kabisa wa kienyeji kwa ajili ya kitoweo cha sikuu za x-mass na mwaka mpya wa 2014, wapo aina zote majogoo na matetea lakini pia kwa mfugaji pia asisite kufika maana wanafaa kwa kula na kufuga pia, wapo kwenye hali nzuri kabisa
bei zao
mawasiliano
nipo kimara kona barabara ya chuo kikuu kupitia msewe , unaweza kushuka kona nitakupokea kituoni
simu:
angalia picha, karibuni tusherekee wote
View attachment 127661

- jogoo ni kati ya sh.17oo0-14000/=
- matetea ni kati ya sh.13000-10000/=